Wanawake tunapenda hivi...

Wanawake tunapenda hivi...

Mwanamke ukimpa hela analowana vilivyo kule chobisi. Hakuna papuchi tamu kama ile iliyolowana barabara!
 
Chenchi?yaani unipe laki take na chenchi tena?hapo unapewa kwa manjonjo chenchi sahau
hapo si ntakuwa nimekupanga nikupe heshima na dhamani maupendo yote mbele ya watu sasa. Ukifeli hapo ujue arusi zingne kila mtu atakuwa anaenda kivyake chenji muhimu kama nimekupa laki jua hapo nimekuheshmu tumia hata f2 tu ya nauli boda zingne nizikute home
 
Mapampula hata wawe na pesa hawawezi kufanya hivyo, sanasana kupitia pesa zake ataongeza wengine wa kumfurahisha na sio wewe ufurahi..!!
Hizo zinakuaga sifa 😅😅😅😅anakua anatafuta umaarufu Ili nae aonekane.
Halafu Bora awe nayo kubwa Sasa 😅.
 
hapo si ntakuwa nimekupanga nikupe heshima na dhamani maupendo yote mbele ya watu sasa. Ukifeli hapo ujue arusi zingne kila mtu atakuwa anaenda kivyake chenji muhimu kama nimekupa laki jua hapo nimekuheshmu tumia hata f2 tu ya nauli boda zingne nizikute home
Ya nini yote hayo
 
Wanawake tunapenda Kupendwa, Kuheshimiwa, Kuthaminiwa, kusikilizwa,Kusifiwa, kuhudumiwa na mambo mengine mazuri kama hayo.


AD_4nXePUOdV2znxwFMbCrVMI6bpRtB8soh_bDkkmKzoON-MPBAX01aDDW1ORXQDukMo6VFreTXESitqxkRvLP5o5x5y38lMtWeE6cnkxzwQas8HKO2XdU1JRfRH975Cu2yMPXFMKSbOVKNIRQ=s2048



Kuhusu kupendwa

tunapenda upendo unaoonekana kwa vitendo, hususan uvumilivu wakati wa shida, na upendo wa kweli huondoa hofu na tunakuwa huru zaidi Na mwanamke aliye huru ndiye anang’ara zaidi.Halafu anakuwa sio mchoyo😜.


Kuheshimiwa mbele za watu na hata faraghani.Maoni yetu yawe na uzito. Tukiheshimiwa, ujasiri wetu unaongezeka. Na mwanamke mwenye ujasiri anajenga familia vizuri.Usitegemee kuheshimiwa kama hujisheshimu na huheshimu wengine.


Kuthaminiwa na kuwekwa kipaumbele hususan mbele ya watu. Kuchaguliwa sisi kwanza. Juhudi zetu pia ziheshimiwe

Tukijua sisi ni kipaumbele, tunafurahi na tunafanya bora zaidi bila kulalamika hususan kitandani.


AD_4nXcG_LJOFbGYmBal3dMVPjN1Gq46GOSXfC-0G9vrJrsOFd615q_cVA8lENbxziq1KWZbP1yymEH8Lxlvl6sTxSgXckTHf-0S5iTKMwey3Bw4fSb7kman91dw8BKqmPkXoAG74McXOrLytQ=s2048



Kusikilizwa. Mwanamke wakati mwingine anapitia changamoto nyingi huenda Kila mtu anaweza kumlaumu lakini ni vizuri akasikilizwa kwa upole na kueleweka kisha akapewa ushauri.Tukisikilizwa, mioyo yetu inatulia. Na moyo uliotulia unazaa mawazo mazuri.

Tunapenda kusifiwa mfano "Umejitahidi." "Umevaa vizuri." "Nimekuona umependeza” umepamba nyumba vizuri.

Sifa ndogo inaamsha Ile hali ya kuendelea kupenda na kuvumilia. Inatupa nguvu ya kujitahidi zaidi kila siku.


Kukumbatiwa. Tunapenda sana kwa sababu kunaponya uchovu wa siku nzima na kutoa faraja kwa mwanamke na kumfanya ajisikie vizuri.Kukumbatiwa kunatoa uhakika wa kuonyesha kuwa "nipo nawe". Hapo ndipo tunapopata nguvu ya kupambana tena.

Tunapenda kuhudumiwa.Mfano kununuliwa zawadi ndogo ndogo na hata kubwa. Mfano Nguo za ndani,Saa,Gauni,Viatu, Kupelekwa sehemu nzuri kupumzika, Pesa kidogo ya matumizi na vitu kama hivo. Tunapenda pia kuulizwa "Umekula?" "Umelala?" "Nikusaidie nini?

Huduma ni lugha ya upendo. Inatufanya tujisikie salama na kutunzwa.


AD_4nXcnfzLwC0xC1XbY1Np8Qe9nH3rE4KSoukYa5RrQH07yD1DOt0gn1esY6OUUqJt8gQIluH435UxUH7lbZdegFI5lxzdbeLdrFI_X5533rrL8Rqqw297JC7kGs0OqBKWNsS08n0Bmgzaqmg=s2048



Tunapenda ushirikiano,Mfano Katika malezi ya watoto kupeleka mtoto clinic,shuleni na kusaidiana kazi ndogo ndogo za nyumbani.

Mwanamume anaposhuka na kushiriki, mzigo unapungua. Na mwanamke asiyechoka ndiye anang’ara na kunawiri vizuri.

Kuhusu pesa si kipaumbele sana kwa mwanamke kama kutakuwa na upendo, heshima, ushirikiano na uwajibikaji.

Mpe mwanamke upendo, heshima, kipaumbele na ushirikiano. Utashangaa jinsi atakavyonawiri na katika nyumba yako upendo na amani vitatawala.
Matako yako
 
Back
Top Bottom