pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 7,748
- 9,308
Kumjali tena mtoto wa mtu hapana tukubaliane tu tuwe tunazini tu hayo mengine tuache unaweza kuwa mwendawazimu au ukapata kesi ya mauaji bureUkijijali sana mwenyewe bado utatuhitaji tu.
Kwa sababu mwili utahitaji vitu vizuri.