Wanawake tunapenda hivi...

Wanawake tunapenda hivi...

Aiseeee...... mwanamke wangu ni mwendo wa mpera mpera !

Akiomba kitu kama sina ni sina yani .... hakuna maelezo na ataelewa ......

Mama mzuri kwa familia..... hilo najivunia....hata nikisafiri najua home pako salama na mishe zetu zinasonga kwa usimizi wake !

Namshukuru Mungu kwa hilo
Braza una uhakika mke wako ni mwanamke?
 
Back
Top Bottom