Wanawake tunapenda hivi...

Wanawake tunapenda hivi...

Hao wanawake wenyewe wanaowapuna pesa masimps ni feki watupu kuanzia mawigi kichwani, kope mpaka kucha miguuni.
Kipenda roho hula nyama mbichi. Ukienda hoteli unachagua ule nini, ukipenda broiler sawa, kienyeji sawa pia
 
hapo si ntakuwa nimekupanga nikupe heshima na dhamani maupendo yote mbele ya watu sasa. Ukifeli hapo ujue arusi zingne kila mtu atakuwa anaenda kivyake chenji muhimu kama nimekupa laki jua hapo nimekuheshmu tumia hata f2 tu ya nauli boda zingne nizikute home
😂😂😂we kiboko
 
Back
Top Bottom