Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,681
- 54,502
Eti wanasema wanapimiwa!na ubahili wao usipimiwe mchezo😂😂watoe milungula waone wanavyopewa yotee😅😅😅😅Ndo maana wanalalamika wananyimwa
Eti wanasema wanapimiwa!na ubahili wao usipimiwe mchezo😂😂watoe milungula waone wanavyopewa yotee😅😅😅😅Ndo maana wanalalamika wananyimwa
Kina LIWALO NA LIWE 😹😹Mapampula ndio kina nani ?😂😂😂
Wapuuzi kabisa!eti nyumbani wanajifanya maisha magumu wife vumiliaWasipotoa wananyimwa 😅😅😅
Mbona huko barabarani wanatoa.
🤣🤣🤣🤣🤣oiiii!kina kuna mchongo nausikiliziaKina LIWALO NA LIWE 😹😹
girlfriend day inakuja🤣🤣🤣🤣we hayaYani wewe 🤣
Ni kuumwa chango kwa kwenda mbele dadek!😅Siku hizi wanawake wanasema wanaumwa 🤣🤣🤣
I miss you bwana🥰🥰🤣🤣🤣🤣🤣oiiii!kina kuna mchongo nausikilizia
Najua ni mahaba tu, maana hela tayari nimeshakupa.Ushajua nataka nini
Yani maigizo au 😅Sio mbaya ila haya yote sisi mamen faida yetu ni nini. Coz sio siri kuna wanawake hawapendeki, hawaheshimiki, hawadhaminiki nk hata ufanyeje. Ila sio mbaya sana mimi labda niwape wanaume siri, mfano mpo wote labda harusini au msibani wewe mpange kabisa mkeo ufanye hili ili wajue unampenda na unamdhamini. Mda wa kwenda home hakikisha yeye ndo anatangulia kwenda home mkifika palipo na watu wengi mpe hug ya kumwambia bye ila mnongoneze kuwa tumia f10 tu, then toa wallet yako mpe hata 50k au laki but make sure umempanga na kwa tukio hilo tu umempa heshma na upendo na kila kitu kilichotajwa kwenye uzi then baadae sasa ndio wewe uende kivyako uombe chenji yako mcheke mlale. Yaani hapo ucheze na hela kama zile za goli la mama. Acha nimalizie glasi mbili kwanza.
ko mimi unanipa maneno wengine unawapa hela🤣Najua ni mahaba tu, maana hela tayari nimeshakupa.
Chenchi?yaani unipe laki take na chenchi tena?hapo unapewa kwa manjonjo chenchi sahauSio mbaya ila haya yote sisi mamen faida yetu ni nini. Coz sio siri kuna wanawake hawapendeki, hawaheshimiki, hawadhaminiki nk hata ufanyeje. Ila sio mbaya sana mimi labda niwape wanaume siri, mfano mpo wote labda harusini au msibani wewe mpange kabisa mkeo ufanye hili ili wajue unampenda na unamdhamini. Mda wa kwenda home hakikisha yeye ndo anatangulia kwenda home mkifika palipo na watu wengi mpe hug ya kumwambia bye ila mnongoneze kuwa tumia f10 tu, then toa wallet yako mpe hata 50k au laki but make sure umempanga na kwa tukio hilo tu umempa heshma na upendo na kila kitu kilichotajwa kwenye uzi then baadae sasa ndio wewe uende kivyako uombe chenji yako mcheke mlale. Yaani hapo ucheze na hela kama zile za goli la mama. Acha nimalizie glasi mbili kwanza.
Nafanya tu matani laazizi. Kuwa na amani ya mutima 🥰ko mimi unanipa maneno wengine unawapa hela🤣
Mimi 🥰😋Wewe huyo 😜