secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,069
- 42,918
Hukuniambia kama unanicheat
Jamani niko msibani 🥲mmh na mpaka sasa haujarudi hapana sitaki
Hukuniambia kama unanicheat
Jamani niko msibani 🥲mmh na mpaka sasa haujarudi hapana sitaki
Nikitoka huku tutaongea.Sikutaki tena
Kwishaaaaa!!!! Ule muda wa kuperuzi usiku saiv hamna ni mwendo zamu yako panda juu.Hamna, majukumu tu! 😹😹
😹😹😹😹 Hamna majukumu mengine, yani nachoka sasa hivi hivi hapa nimeamka nashtuka kumbe na simu nilidondosha usingizi ukanichukua hata siku log out JF…!!Kwishaaaaa!!!! Ule muda wa kuperuzi usiku saiv hamna ni mwendo zamu yako panda juu.
Hao hapo msimtafute mgangaHivi ni kina nani wanatuharibia sisi lakini?
Nani hataki kupendwa vizuri
Hivi ni kina nani wanatuharibia sisi lakini?
Nani hataki kupendwa vizuri
Mnajiharibia wenye just imagine naweza kuprovide vyote hivyo but at the end unaenda kuchepuka na muokota makopo just imagineHivi ni kina nani wanatuharibia sisi lakini?
Nani hataki kupendwa vizuri