Siyo kwa hawa wa dada wa karne hii. Wale wa enzi zetu wangukupa shida kidogo. Hawa wa sasa ukiwaomba namba za simu wakakupa ujue wameshakubali kulala kwenye sita kwa sita wakiwa na nguo zao za kuzaliwa.hahaha acha kujisifia ww ukute kila unaemsimamisha anakutoa baruuu halafu ukifika jf unaanza kujisifia.
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.
8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.
9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.
10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.
habari ndio hiyo........
hivi anajisifiaje mf..aaah hii iphone inaisha charge sana yan...daaah..mdogo wangu kadondosha flat screen yetu....daaaah DSTV nimechelewa kulipia..dizain hiyo nin enh?Mwanaume siku ya kwanza kujisifia sifia anajifanya wa kishua hamna kitu hapo!!!!
Dear,honey,dalingi miiiingi mwanzoni... ujue wizi mtupu..
Gia ya nataka kuoa siku ya kwanza tu na mwingine kwenye sms hapo hamna kitu.
Kujidai eti dutch treaty au unategea nilipe bili..this is bad indicator.
mmmmmmmmmh?????????????????????????Siyo kwa hawa wa dada wa karne hii. Wale wa enzi zetu wangukupa shida kidogo. Hawa wa sasa ukiwaomba namba za simu wakakupa ujue wameshakubali kulala kwenye sita kwa sita wakiwa na nguo zao za kuzaliwa.
Believe me you!
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.
Mdada akifuata vigezo hivyo, atakuwa pia kwenye hatari ya kunasa kwa masharobaro, masharobaro wanayatambua hayo na zaidi, kabla hata mdada hajawahi kuyafikiria.Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.
8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.
9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.
10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.
habari ndio hiyo........
hapo namba nne kwenye nyekundu,vp mimi ninaye natembea na mabulungutu na kwenye wallet hayatoshi inakua ndogo!??
Dada yangu, wachangiaji wanakustahi kwa sababu umo JF kwa muda mrefu na wamekuzoea. Angekuwa ni mtu mpya JF ndio katuma huu uzi, angeshaufunga na kwenda kulala kwa comment za kashfa ambazo angedondoshewa na wana JF.Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.
8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.
9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.
10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.
habari ndio hiyo........
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.
8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.
9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.
10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.
habari ndio hiyo........
Dada yangu, wachangiaji wanakustahi kwa sababu umo JF kwa muda mrefu na wamekuzoea. Angekuwa ni mtu mpya JF ndio katuma huu uzi, angeshaufunga na kwenda kulala kwa comment za kashfa ambazo angedondoshewa na wana JF.
Vigezo ulivyoviweka hapo hutumiwa na msichana teenager ambae hajajua maisha halisi yakoje. Samahani lakini sijui una umri gani.