Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Roho mbaya inakusumbua weweuwiiii kwa lipi na ukarimu upi na umeanza lini.
sitaki kabisa kusikia.
Roho mbaya inakusumbua weweuwiiii kwa lipi na ukarimu upi na umeanza lini.
sitaki kabisa kusikia.
Na mimi ni shost yako?Mi we ni shost yangu,aina ya urafiki wangu na wakp ndio mzurii au waonaje
Wewe ni mke mwenza.Na mimi ni shost yako?
Tiririka kidogo mkuu.Kiukweli mademu sio
Binafsi yalinikuta so sitakagi mazoea kabisa kila kitu kivyangu vyangu...
pole,,,,sina rafiki wa kike nilitemana nao tangu siku namaliza chuo ,,marafiki zangu wa shida tabu na raha ni wanaume wenye akili, wanaonipa chachu ya kuendelea..ninao marafiki kumi wakiume najivunia kuwa na marafiki wa aina hiyo ,namshukuru ..kila mwisho wa mwezi tunakutana kubadilishana mawazo na tuna kikundi chetu ....Hivi sisi hatuwezi kuwa marafiki mpaka tusemane vibaya, yani usipomsema mwenzio unaona siku haiendi au inakuwaje, unakuta unakuwa na rafiki mnasaidiana kwa hali na mali lakini au akiwa na shida unamsaidia tena vya kwake mchoyo kweli, unajitoa kwa kila kitu lakini utakuta linakusema vibaya sijui ni wivu, chuki hata sielewi aisee!
Hii tabia tunayo sana wanawake tubadilike jamani, maisha yashakuwa magumu maneno ya nini, mimi nishaamua sasa niwe mwenyewe tu sitaki marafiki maana ukigeuza tu mgongo wauaji, halafu ukitaka kukumbuka kitu ambacho umemuudhi huoni au ukimuuliza anasema hakuna kitu yaishe tu nisamehe.
Au wengine bila kusema wenzao siku haziendi vizuri "lazima tuji control "
Yaani nishaamua toka mwaka jana hakuna rafiki yeyote kushika simu yangu, wala kujua password, misele yangu napiga kimya kimya, sitambulishi mpenzi wangu tuonane wenyewe tu. Maana maneno mengi mpaka unachoka.
Wanawake sisi ni kibokooo
Tatizo brain zinacharge lowWanawake wengi field yao ipo limited sana, hawapo sana kwenye mambo ya mpira, pombe, muziki, kazi na pia kuongea 'hard topics' kama elimu, siasa, sera mbalimbali sio sana, so ndio maana mada nyingi (sio zote) zinakuwa ni kuhusu mahusiano tu, yawe kifamilia, kimapenzi n.k, na mazungumzo hayahusu kusemana vibaya tu, kumsema kupo mara nyingi sababu kumsema mtu vibaya kisaikolojia huwa kunaleta faraja flani hivi hasa ukiwa na matatizo....

Kuna bidada mmoja ana hizo mambo yani akiona simu yangu roho inamrukaa sijuagi hata kwa nini espy tayari nishasema Ke mwenzangu hukuu hahahaKhaaaaa
Shosti rafiki simu yako anashika ya nini??????
Halafu heri uwe na mabesti wa kiume kuliko wanawake
Kuna bidada mmoja ana hizo mambo yani akiona simu yangu roho inamrukaa sijuagi hata kwa nini espy tayari nishasema Ke mwenzangu hukuu hahahaKhaaaaa
Shosti rafiki simu yako anashika ya nini??????
Halafu heri uwe na mabesti wa kiume kuliko wanawake
Uke wenza ntakonda banaWewe ni mke mwenza.
Haa nisivopenda kushea cm na mtu nimeeka PW kabisa...Khaaaaa
Shosti rafiki simu yako anashika ya nini??????
Halafu heri uwe na mabesti wa kiume kuliko wanawake
We mwanamke utakua na undugu wa karibu na mpika sumu aise mana sio kwa roho mbaya hiyoKama yako kbsa![]()
![]()
![]()
![]()
Nimecheka kabisaWe mwanamke utakua na undugu wa karibu na mpika sumu aise mana sio kwa roho mbaya hiyo
