Samahani mkuu,kwa hiyo wewe marafiki zako ni jinsia ke?Haha sio wanawake tu ata wanaume....mi saiz nimefanya shortlisting...nimebakiza mmoja tena ntakua namshirikisha ambayo sio yamaana
Yan story za wanawake
Ukiskiliza unaweza kuishia
Kucheka au kuhuzunika
Mwanamke hanaga kifua
Cha kuweka,cr
mbona hawasemi tunavyowakunja ? na wanavyotapeliwa tamuuu ----------- vifua wanavyo wewe sema wanajitoa ufaham tu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli mkuu wanajitoaga ufsham hawa
Maana tukiwachomeleaa vzr
Wanavungia kabatin hawasemag
Kabsaaa
Tena haswaaaaaa wazaramoooooWANAWAKE HASWA WAKIBONGO WANAPITIA MENGI MPAKA BAS
Yeah!ni umbea coz umbea ni ukweli usiopenda kusemwa.ungesema ni uongo ningekumaindi kidoogo.Huu nao ni umbea.
![]()
![]()
![]()
![]()
ilo nalo neno maana ukiwa mzuri unaringa ukiwazidi kidogo tu unaringa na hela sijui anapata wapi basi tabu tupu...
Tungekua tunapendana kweli kweli na kushikamana kusaidiana km ilivyo kwa me tungekua mbali
kwa nn dunia ni duara..?? je ingekua na shape ya box life isinge exist??hebu anzisha

Nnao jinsia zote.. Naote wana snitchSamahani mkuu,kwa hiyo wewe marafiki zako ni jinsia ke?
Au hutaki rafiki wa jinsia yoyote!
Teh teh, nimecheka sana. Wao wema, wenzao ndio wabaya. Online perfectionism....Humu natarajia kila mwanamke atamlaumu mwanamke mwenzie, yaani wao wote wema ila mashosti ndio wenye shida, hii ndio jf bwana.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Njoo tupige umbea EliTeh teh, nimecheka sana. Wao wema, wenzao ndio wabaya. Online perfectionism....
Ngoja nitafute sehemu tulivu ya wawili tupige umbea Vale.Njoo tupige umbea Eli

Nasubiri. Umbea wa me na ke unakuaga mtam sana si wajuaNgoja nitafute sehemu tulivu ya wawili tupige umbea Vale.![]()
Kaka si ubadilishe hiyo avatar, unachanganya sana kuvaa uhusika wa mwanamke wakati wewe ni meHivi sisi hatuwezi kuwa marafiki mpaka tusemane vibaya, yani usipomsema mwenzio unaona siku haiendi au inakuwaje, unakuta unakuwa na rafiki mnasaidiana kwa hali na mali lakini au akiwa na shida unamsaidia tena vya kwake mchoyo kweli, unajitoa kwa kila kitu lakini utakuta linakusema vibaya sijui ni wivu, chuki hata sielewi aisee!
Hii tabia tunayo sana wanawake tubadilike jamani, maisha yashakuwa magumu maneno ya nini, mimi nishaamua sasa niwe mwenyewe tu sitaki marafiki maana ukigeuza tu mgongo wauaji, halafu ukitaka kukumbuka kitu ambacho umemuudhi huoni au ukimuuliza anasema hakuna kitu yaishe tu nisamehe.
Au wengine bila kusema wenzao siku haziendi vizuri "lazima tuji control "
Yaani nishaamua toka mwaka jana hakuna rafiki yeyote kushika simu yangu, wala kujua password, misele yangu napiga kimya kimya, sitambulishi mpenzi wangu tuonane wenyewe tu. Maana maneno mengi mpaka unachoka.
Wanawake sisi ni kibokooo