Wanawake tuna maneno

Wanawake tuna maneno

ha haaha unaogopwa kusema tatizo ni wewe unataka kujua kama wanakusema au lah? me sidhani kama nasemwaga sababu huwa siyasikii
 
Hamna ushost mbaya kama huo, wanawake bwanaaa sie wenyewe kwa wenyewe hatupendani ni wachache saaana wenye urafiki wa kweli.
Rafiki yako wa karibu ndo muuaji wako wa siri, kwa ninayoyaona kwa wenzangu ushost upite tu mbali na mie
Kweli sijui nani katulogaaaaa jmn khaaaaa... Wanawake hata maofisini ni shidaaa kn ofisi moja nlifanya kazi ndo nilijua rangi zote za wanawake.
 
Dinazarde umeongea ukweli haswaa
Hakuna watu wabaya km marafiki feki hasa wanawake sijui katuloga nani mi mwaka jana nilipiga chini wote. Sababu izo izo wanakuchekea wakigeuka wanakuchoma mishale... Bora uwe na marafiki wakiume 10 klk kuwa na rfk mnafiki wa kike mmoja.....
Pole sana.

😀😀😀 na hapo kuwa na marafiki wa kiume unazungumzia urafiki gani maana na sisi hatutaki friendzone, urafiki wa mgegedo sawa 😛😛😛
 
Hivi sisi hatuwezi kuwa marafiki mpaka tusemane vibayaa,,yaan usipomsema mwenzio unaona siku haiendii au inakuwajee,,,unakuta unakuwa na rafiki mnasaidiana kwa hali na mali lakin au akiwa na shida unamsaidia tena vya kwake mchoyo kwelii,unajitoa kwa kila kitu lakin utakuta linakusema vibaya sijui ni wivu,chuki hata sielewii aisee..
Hii tabia tunayo sana wanawakee tubadilikee jamani,maisha yashakuwa magumu maneno ya nini
Mim nishaamua sasa niwe mwenyewe tu sitaki marafiki maana ukigeuza tu mgongo wauaji,,halaf ukitaka kukumbuka kitu ambacho umemuudhi huoni,,au ukimuuliza anasema hakuna kitu yaishe tu nisamehee
Au wengine bila kusema wenzao siku haziendi vizuri "lazima tuji control "
Yaan nishaamua toka mwaka jana hakuna rafiki yeyote kushika simu yangu ,wala kujua password ,misele yangu napiga kimya kimyaa,,sitambulishi mpenzi wangu tuonane wenyewe tu
Maana maneno mengiii mpaka unachoka
Wanawake sisi ni kibokooo
Ukiwa na rafiki maana imekulzimu weka akiba ya maneno siku mtakuja gombana,yaani usimwambie kila kitu,mkigombana ataelezea siri zako!
 
Hamna ushost mbaya kama huo, wanawake bwanaaa sie wenyewe kwa wenyewe hatupendani ni wachache saaana wenye urafiki wa kweli.
Rafiki yako wa karibu ndo muuaji wako wa siri, kwa ninayoyaona kwa wenzangu ushost upite tu mbali na mie
Mumy hata mie siutaki hata kuusikia ni bora mara mia kama una mume / mpenzi akawa ndio rafiki yako anaweza akakufichia siri zako lakini sio mwanamke.

Ila Sijuagi kwa nini tuko hivi?
 
Kweli sijui nani katulogaaaaa jmn khaaaaa... Wanawake hata maofisini ni shidaaa kn ofisi moja nlifanya kazi ndo nilijua rangi zote za wanawake.
We acha tuu, ni changamotoooo
 
Mumy hata mie siutaki hata kuusikia ni bora mara mia kama una mume / mpenzi akawa ndio rafiki yako anaweza akakufichia siri zako lakini sio mwanamke.

Ila Sijuagi kwa nini tuko hivi?
Ndo hivyo, sie sio kabisaa na sijui ni kwa nini tumekuwa hivyo jamani
 
Shosti mie sina shoga wa kike yule ambae naweza kumweleza yangu ya rohoni ila dada zangu na wadogo zangu tulio zaliwa wote na pia sio yote ntasema,rafiki zangu wengi ni Man,na nimefaidika sana na urafiki wao nimetumia mawazo yao sana na nimefanya mengi,mfano mwanamme anaweza kuona kiwanja kinauzwa akakwambia na akakupigania mpaka upate,nenda kwa mwanamke mwenzio anakwenda kwa kwenye kiwanja akuongezee bei au apate cha juu,yani mie apana kwanza staki mwanamke anizowe wala nimzowee.........
 
Hmmmm!



Wanawake field yao ipo limited sana, hawapo sana kwenye mambo ya mpira, pombe, muziki, kazi na pia kuongea 'hard topics' kama elimu, siasa, sera mbalimbali sio sana, so ndio maana mada nyingi (sio zote) zinakuwa ni kuhusu mahusiano tu, yawe kifamilia, kimapenzi n.k, na mazungumzo hayahusu kusemana vibaya tu, ila kumsema kupo mara nyingi sababu kumsema mtu vibaya huwa kunaleta faraja flani hivi hasa ukiwa na matatizo....
 
Back
Top Bottom