Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,378
- 2,054
Ni kama mwamvuli wa kujikinga na udhaifu,maana wanawake by nature tu mna ka udhaifu flani hiviWanawake wengi field yao ipo limited sana, hawapo sana kwenye mambo ya mpira, pombe, muziki, kazi na pia kuongea 'hard topics' kama elimu, siasa, sera mbalimbali sio sana, so ndio maana mada nyingi (sio zote) zinakuwa ni kuhusu mahusiano tu, yawe kifamilia, kimapenzi n.k, na mazungumzo hayahusu kusemana vibaya tu, kumsema kupo mara nyingi sababu kumsema mtu vibaya kisaikolojia huwa kunaleta faraja flani hivi hasa ukiwa na matatizo....
