Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Nifanye nini uamini ninayosema?Moyo hauwezi kuteseka wakat jamaa yupo
Nifanye nini uamini ninayosema?Moyo hauwezi kuteseka wakat jamaa yupo
mimi nina bonge la shost hadi chupi tunanunuliana kuna marafiki wazuri badoha haaha unaogopwa kusema tatizo ni wewe unataka kujua kama wanakusema au lah? me sidhani kama nasemwaga sababu huwa siyasikii
Mi kuna mmoja aliniharibia Mahusiano yangu ya kimapenzi...Kuna wengine unakuta mpaka kuvaa wanavaa sare na usiombe siku watibuane watatoleana siri zao zote mpaka za ndani.
yaap ni kweli kabisa......Sio marafiki wote wa kiume lzm mgegedane.
hongera aiseemimi nina bonge la shost hadi chupi tunanunuliana kuna marafiki wazuri bado
Ndio tabia zetu. Na ukute kukuharibia kote hata kudumu naye hajadumu naye.Mi kuna mmoja aliniharibia Mahusiano yangu ya kimapenzi...
Halafu akawa anamtongoza huyo mwanaume...
Tokea hapo wanawake niliwavulia kofia
Hmmmm!
Acha izo mkuu uwe na akiba ya marafiki wa kike.yaap ni kweli kabisa......
ila mimi mwanamke akianza tu mambo ya friend zone namtupia voko ili tubaki tunaheshimiana tu..
ninao ila tunaheshimiana na utani upo sana tu ila kuna wale wanataka kama kukumiliki kiujanja ujanja hao ndo hapana aise..Acha izo mkuu uwe na akiba ya marafiki wa kike.
Hivi sisi hatuwezi kuwa marafiki mpaka tusemane vibaya, yani usipomsema mwenzio unaona siku haiendi au inakuwaje, unakuta unakuwa na rafiki mnasaidiana kwa hali na mali lakini au akiwa na shida unamsaidia tena vya kwake mchoyo kweli, unajitoa kwa kila kitu lakini utakuta linakusema vibaya sijui ni wivu, chuki hata sielewi aisee!
Hii tabia tunayo sana wanawake tubadilike jamani, maisha yashakuwa magumu maneno ya nini, mimi nishaamua sasa niwe mwenyewe tu sitaki marafiki maana ukigeuza tu mgongo wauaji, halafu ukitaka kukumbuka kitu ambacho umemuudhi huoni au ukimuuliza anasema hakuna kitu yaishe tu nisamehe.
Au wengine bila kusema wenzao siku haziendi vizuri "lazima tuji control "
Yaani nishaamua toka mwaka jana hakuna rafiki yeyote kushika simu yangu, wala kujua password, misele yangu napiga kimya kimya, sitambulishi mpenzi wangu tuonane wenyewe tu. Maana maneno mengi mpaka unachoka.
Wanawake sisi ni kibokooo
ninao ila tunaheshimiana na utani upo sana tu ila kuna wale wanataka kama kukumiliki kiujanja ujanja hao ndo hapana aise..
jimilikishe tu mkuu km ujamilikiwa bado.Pole sana.. Kwani wewe ni mzuri? Kama wewe ni mzuri wanawake wenzako hawataacha kukuletea maneno...
ilo nalo neno maana ukiwa mzuri unaringa ukiwazidi kidogo tu unaringa na hela sijui anapata wapi basi tabu tupu...