Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,832
Hebu pitia hapa ujionee.
Wanawake wanaokwenda na wanaume zao kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa vinasaba vya binadamu(DNA) ili kujua uhalali wa watoto,hukimbia vipimo hivyo ktk hatua ya mwisho,mkemia na mchunguzi wa makosa ya jinai na vinasaba ktk maabara ya mkemia mkuu wa serikali Gloriao Machuve,alisema jana kuwa mara nyingi baba na mama wanapokwenda kuchunguza vinasaba ili kujua uhalali watoto,mama hukataa ktk hatua za mwisho!
imekaaje wadau