Wanawake tumezidisha mechi za nje.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
Hebu pitia hapa ujionee.
Wanawake wanaokwenda na wanaume zao kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa vinasaba vya binadamu(DNA) ili kujua uhalali wa watoto,hukimbia vipimo hivyo ktk hatua ya mwisho,mkemia na mchunguzi wa makosa ya jinai na vinasaba ktk maabara ya mkemia mkuu wa serikali Gloriao Machuve,alisema jana kuwa mara nyingi baba na mama wanapokwenda kuchunguza vinasaba ili kujua uhalali watoto,mama hukataa ktk hatua za mwisho!
imekaaje wadau
 
Unafanya mchezo na kerbu wewe? Bora wakae mbali maana dr akishasema mtoto sio wangu kama yupo karibu unategemea nini?
 
giLESi na bado watakimbia sana.......!
Sasa mtu unamzalisha mkeo watoto sita unategemea wote ni wako........!
Ila sijui siku hizi naona wanaishia 2 sana sana 3 na wameachana miaka 2 ama 3.........!:confused2:
 
Wale wa 1947 tumeshayazoea hayo kwani tumeona ambayo ni makubwa zaidi na ndiyo maana kuna msemo kuwa kitanda hakizai haramu!!

Babu DC!!

hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram
 
tit 4 tat hiyo..mbona wanaume nao wanazaa nje huko watoto hawajulikani utashangaa tu siku akifariki wanakuja watoto msibani kopiryt na marehemu na kumuacha mjane yuko frastrated....hiyo ilitokea kwa mama mmoja ni rafiki wa familia yangu....yaani ishu ikiwa kwa wanaume watu aaah, shwari tu, ila kwa kina mama ndio inakuwa msala...kun**ya an**ye kuku aki***ya bata kaharisha!!!
Hebu pitia hapa ujionee.
imekaaje wadau
 
hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram

Haina maana hiyo ummu kulthum,

Ilikuwa na maana kuwa kwa upande wa wanaume, mtoto akishazaliwa ndani ya nyumba yako basi huyo ni wako....Hii ililenga kupunguza uchokonoaji usio na lazima kama haya mambo ya kwenda kufanya DNA test!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram

Tehe tehe tehe, umenifurahisha kijana wa dot com, Kwani wanaposema usitukane mamba kabla hujavuka mto,wanamaanisha nini?, au unadhani mamba anasikia matusi ya mwanadamu?. Ndo raha ya kiswahili, unajivinjari katika kisiwa cha lugha.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom