Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

wanawake wa siku hizi shida tupu...... hii nini sasa.

nani asiyejua kuwa mnazaa kwa uchungu, hata kwenye biblia imeandikwa, sasa kuja kusimuliana humu ni kujikosea heshima wenyewe, wala haina maana, mnawadhalilisha wanawake wenzenu
 
Baada ya kujifungua. Unakitega tena kipokee. Ukija tahamaki watoto 3. Hongera kuwa mama.
Ile hali ya kutuchukia mkiwa wajawazito huwa mnajifanyisha au ni nature?
 
Mama Sabrina Chances are utakuwa mvivu wa mazoezi na kufanya kazi za kutumia nguvu, na unapenda chips.

Nimesimuliwa na kina mama wazoefu na nimechunguza mwenyewe.

Nilipokuwa boarding sekondari moja Mwl moja alikuwa wakati wa kujifungua akienda hosp hayapiti masaa mawili. Lkn alikuwa anapiga kazi balaa na safari moja nakumbuka alishikwa uchungu akiwa shambani anapiga jembe, alirudi ndani ya masaa 2 kabeba mtoto.

Kina mama wengi wa vijijini wanaofanya sana kazi za mikono wanapata matatizo kidogo wkt wa kujifungua ukilinganisha na "mababy" wetu wa mjini.
 
[emoji46][emoji46][emoji46]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wazaramo utawaweza mkuu wao kila kitu mpaka kipite unyagoni hata mm sijaona cha kuficha japo sijazaa ila natamani[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Nilijifunza ujauzito wa pili wala haikuchukua two hours nilikua nimeshajifungua nilipiga zoezi mwanzo mwisho na uchungu unakua wa haraka. Ila kuna complications zingine ziko nje ya uwezo wa mama
 
Ni dawa ya ganzi inayoondoa uchungu wote wa kujifungua. Inawekwa mgongoni kwa IV (dripu) wakati wote wa leba.
Hizi ganzi na operation sio nzuri sana, zinapunguza ile bonding ya mama na mtoto
 
[emoji46][emoji46][emoji46]
 
hahaha pole chief
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…