Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,843
Umekuwa mgumu kutoa papuchiMama sabrina looo pole shogangu yani ulivyoelezea yote yalinikuta mimi, mtoto alisukumwa na manesi watatu huku dokta naye anavuta jamani wanaume wangejuaga kwa kweli wasingeletaga dharau, acha mama aitwe mama, toka nitoke leba aisee nimekuwa mgumu balaa hata nipitie kitu gani sijui kama maumivu yake yatafikia ule uchungu.
Shikamoooni wamama jamn
[emoji122] [emoji122] [emoji122] kunywa soda hapo kwa masawe naja kulipaMwanamke uliyefundwa huwezi kusema haya mambo hadharani
Ni eidha ulizaa ukiwa mwanafunzi/mwanachuo au umekuwa mama kabla ya wakati wako.
Vinavyofanyika/kutokea leba ni siri, kuvimwaga hadharani hapa ni kujivua nguo. Ndio maana hata manesi/wakunga hawavitoi nje.
Watoto ni baraka mkuuJibane bane kama hajazaa na michepuko uishie kuletewa watoto wa wenzio ulee
Mwili umesisimkaJamani jamani jamani kila nikiingia leba naanza na neno nitatoka salama humu? Huwa nakata tamaa kabisaaa hasa maumivu ya mgongo na kiuno yakichachamaaa euwiiiììii huwa naomba msaada hata wa mtu asiehusika. Sitakaa nisahau mwanangu wa kwanza niliteseka uchungu siku 2 mpka muda wa ku push nguvu sina ikabidi wamvute mtoto kwa vacuum thanks God nilikua kwa hospital yenye specialist mtoto hakupata madhara. Uchungu wa kuzaa hakuna mfanowe ndipo wamama wengi hufariki kwa sbb kuna wengine presha zinapanda au kushuka ghafla kwa maumivu. Wababa kule ni nusu kifo muwe mnatuombea tutoke salama
mwanaume akimpa mwanamke ampendaye kitu hawezi kufanya ivyoNyie mnatafuta kwa jasho ili mtupe sisi tuwazalie kwa uchungu ila mkitupa mnatusimanga kama mmetupa pumzi vile
Usijali dear Mungu hutupa na njia ya kutokea nakusahau kabisa ndo maana tunarudia tena na tenaMwili umesisimka
Hichi kitu kinafundishwa mpk shule kwenye level ya juu kwa waliochukua pcb sasa na darasani tunakuwepo wavulana na wasichana. Haya mambo yanatuhusu wake kwa waume maana hata leba mara nyingine wanazalisha wanaume. And kama sikosei humu hakuna under 18.Tunahitaji mafundisho zaidi lakini siyo sehemu Za wazi Kama hizi ambako wanaume wanatusoma na watoto pia!
Kila ktk maisha kinahitajika mafundisho iki kiweze kufanyika Kwa usahihi !
Sidhani kama kuna kitu kigeni chochote duniani, uchungu na leba ni mambo ya kawaida kabisa uliza wanaosomea udaktari, kwa dunia ya leo iliyoendelea watu watakushangaa kusema jambo kama hilo, ukiingia YouTube kunazo hadi video ya kuzaa.... Sasa sielewi unazungumzia siri katika muktaza ganiTunahitaji mafundisho zaidi lakini siyo sehemu Za wazi Kama hizi ambako wanaume wanatusoma na watoto pia!
Kila ktk maisha kinahitajika mafundisho iki kiweze kufanyika Kwa usahihi !
Bora hata na wewe umeona hili, yani wanaotupatia hizo mimba ni wanaume sasa kwa nini tufanye siri uchungu yani tusiwahusishe wajue yanayotukabili hadi maandiko matakatifu yamezungumzia uchungu yaani sioni siri kwa kweliHichi kitu kinafundishwa mpk shule kwenye level ya juu kwa waliochukua pcb sasa na darasani tunakuwepo wavulana na wasichana. Haya mambo yanatuhusu wake kwa waume maana hata leba mara nyingine wanazalisha wanaume. And kama sikosei humu hakuna under 18.
Haaa haaa govi? Like serious?..hizo kejeli ambazo ungezipata kwetu, ungejipeleka mwenyewe kukatwa huo mkono wa sweta!Maumivu ya kisu cha ngariba tena bila ganzi ni hatar aisee!! Bora ningebak na govi langu