Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,170
Shida ilikuwa nini au walikuibia mtotoWao wenyewe wakaanza kujifanya kushangaa na kumtupia lawama mtu wa picha lakin akawaambia ana uhakika na majibu yake.Ukweli niliishia kuumia hadi leo sikuchukua hatua yoyote ukizingatia hata pesa nilikuwa sina for that time.
Hiyo hospital inaitwa Igogwe.
Ndo manakeNilishawahi sikia kitu hicho tena kwa pesa ya adabu.
Uoga mbaya ndio,,,ni kuwalipua ndioDuh! Pole sana lakulini mateso haya yatapungua endapo tutayaweka wazi nao wataogipa
Ahsante ndugu,,,nitapoa siku mojaPole sana mkuu
Ahsante sanaDuh! Pole sana mpendwa
Ahsante ,,nitapoa siku mojDah!nimeskia kulia,Pole sana,pole tena
Mmmmhhhh!!!! Hizo habari mumeo anazijua sipati Picha ningekuwa mumeo hao manesi wangekuwa kaburini Muda mrefu tu
Mtoto alikufa,,,.Pole Sana, nyie wanawake huwa hampendani, sidhani kama angekuwa nurse mwanaume angefanya hivyo, I hope ulijifungua salama
Walikufanyia operation kwaniMtoto alikufa,,,.
Noo hawa kufanya,,,kuna kitu walifanya akafa,,,ila labda ni mipango ya Mungu piaWalikufanyia operation kwani
Noo hawa kufanya,,,kuna kitu walifanya akafa,,,ila labda ni mipango ya Mungu pia
Sithibutu tena kwenda government,,, labda wanipeleke sijielewiMmmmmmh wee dada nikisoma comment zako mpaka natetemeka .... Uzao mwingine jaribu kwenda hosp za private
Pole saana
Toka nisome comments zake nimekosa mood aiseee nimesikitika sanaMmmmmmh wee dada nikisoma comment zako mpaka natetemeka .... Uzao mwingine jaribu kwenda hosp za private
Pole saana
Chezea kitombeo wewe mkipona tu mnatamani tena kitombeo..! [emoji125][emoji125][emoji125]Habari JF,
Tukiwa tunamalizia malizia wiki la wanawake duniani hebu wanawake wa JF tiririkeni kituko ulichofanya leba ulipokuwa na uchungu.
Aisee ile kitu achana nayo uchungu ulipozidi sana niliona bora nife kuliko kuendelea kuumwa namna ile, yani inafika wakati unaona kifo ndo kitu rahisi.
Ashukuriwe Mungu kuna kusahau
Asante mama
Mambo mengine mtu unaweza kupoteza maishaMmmmmmh wee dada nikisoma comment zako mpaka natetemeka .... Uzao mwingine jaribu kwenda hosp za private
Pole saana
Mimi sijaisoma na sitaisoma. Naondoka rasmi kwenye huu uziToka nisome comments zake nimekosa mood aiseee nimesikitika sana
Wanashindwa kuelewa kuwa hao walioleta dini afrika walikuta tumestaarabika kuliko wao hata kama tulikua tunaabudu mizimuhuu ndo ujinga wenyewe!
manesi wanahitajika kubadilika we unaleta maombi!!.. ni mara ngapi watu wameshaliombea taifa lakini hayo maombi hayafui dafu..?
inatakiwa tuishi maisha ya kweli si kuimagine!,unatenda hivi unadhibitiwa ili usitende si hizi lomolomo.. kuna mwanamke kakomenti kuwa ilikuwa amebakiza kidogo tu kibofu kipasuke,asingekuja huyo kijana akamtibia hicho kibofu kingelipona?
hayo mambo ya maombi watz tufute kichwani huo si uhalisia,we need to change our way,we will get changes.
Hahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli civilisation imeanzia AfrikaWanashindwa kuelewa kuwa hao walioleta dini afrika walikuta tumestaarabika kuliko wao hata kama tulikua tunaabudu mizimu
ungezaa tu huwezi shindana na maandiko ...labda ungekuwa TASAHalafu hamkomi kuzaa ,I wish I could be a woman... Nisingezaa ngooooo..
Pole sana kwa wakati mgumu uliopitiaMorogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell