Jamani poleni. Mnahaki ya kuwafichua hawaHakuna,, havihusiani.kuna Dada niliyekua naye,,alikua na tumbo limekaa km Chungu afu liko juu halijashuka na siku zimefika,,waliitana wanacheka njooni muone tumbo gani hili,,,tumbo kibuyu,,aisee nilijionea maajabu ya dunia,,,
Daaah! Umeongea kitu muhimu sana ndugu. Mungu akubarikiPole Sana, mimi pia ni mchanga wa hospitali zetu za serikali. Ila hakikisha kama mkeo ni mjamzito uwe unamweka kwenye maombi Sana. Pia kumbuka kuombea hao watakaomuhudumia mkeo. Ni jambo dogo lakini limetusaidia Sana. Mungu anasikia na atajibu. Usiku mwema.
sad to hear [emoji29]Morogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
itapendeza tuingie wote labour room love,unipe support, ina raha yake....😉😉😉
aisee!Itakubidi tu love.... thou naskia huwa kuna kauchungu fulani hivi but najua utakashinda.....
Kumbuka itabidi tuwe na familia na familia inakamilika baada ya kupata mtoto [emoji4] [emoji4]
Daah haya mambo kumbe yapo sana aisee we sio wa kwanza kulalamika hiki kitu daah!!Nilishawahi sikia kitu hicho tena kwa pesa ya adabu.
pole sana mkuu,Najua picha haidanganyi sasa bora wangenipa wote nikawazike maana wife aliishiwa nguvu hata hakujielewa but am sure hawakunipa mtoto mmoja though wanadai alikuwa mmoja ila taarifa za picha walizoandika ktk kadi ziliendelea kuwaumbua.
Ipo siku Mungu ataonekana.
unaposema ni watu wa daraja la chini hivyo hawawezi kuwashitaki unamaanisha nini mkuu? je kuna freedom of expression hapo?Naomba nichangie hivi.
Ktk HOSPITALI ZA SERIKALI
-Kumuwajibisha muhudumu wa afya ni long process
-Hakuna hasara ambayo kituo husika kitapata kwa wewe kuto enda kupata huduma pale.
-wengi wanao enda hudumiwa katika vituo hivi ni watu wa dalaja la chini hivyo hawana ujasili wa kwashtaki wahudumu hawa.
Dah!nimeskia kulia,Pole sana,pole tenaSasa hiyo trela,,,kuna kubwa mbili ndo nikikumbuka naliaga tuu
Ntakusimulia moja.
Unajua uzazi wa kwanza unakua hujui vitu ,,sasa ikafika muda nimeshikwa haja ndogo lakini haitoki,( naskia mtoto anaweza gandamiza pale kwenye kibofu)kila nikienda haja haitoki,,nikaanza kuhisi maumivu makali sana,,nikaita nesi,,akaja kwa ukali,, nini?? Nikamwambia nesi tangia Jana usiku sijakojoa mkojo hautoki ( tangia SAA mbili usiku mpaka saa mbili asbh) akanambia pumbavu wewe kwa hiyo Mimi Nije kukukojolesha Nina kazi zangu usiniite ,,akaondoka. Kufika saa NNE nikaona kama sasa nakufa,, kama nataka kupasuka,,nikaita kwa yowe kubwa kwa uchungu sana,,,nilikua na mwenzangu mmoja( tuliweka chumba chetu Tulikua na pressure) akaita nesi njoo naye akawa anaogopa akajua nakufa,nesi akaja nikamwambia tena akafyonza akaondoka, ,Bahati muda ule kuna kijana wa field akapita ( Mungu ambariki aliko) nikamwambia akasema nipe hela nikanunulie mpira nje,,akaja akaniwekea ,,yani pale pale kifuko kikajaaa,,akasema Dada ulikua unapasuka kibofu,,SITASAHAU ,,,
Pole sana, na poleni wote mliopitia manyanyasoDa!! Mie nkikumbuka niliteseka acha kabsa , nlkua na mapacha wakiume, mmoja akatoka ametanguliza miguu na mwingine mkono, ila wapili akafariki, pindi hajatoka wapl nilhis kufa, yaan mpka Leo hii Picha ya mtoto yule haijafutika machoni najitahid kumtoa akilin nashindwa
Pole Sana, nyie wanawake huwa hampendani, sidhani kama angekuwa nurse mwanaume angefanya hivyo, I hope ulijifungua salamaMorogoro Hosp nikienda kujifungua pale, ukilia unapigwa kama mtoto, wale waupe mpaka wa napata wekundu kwa makofi. Mi hawakunipiga ila waliniulia mtoto.
Unanyanyaswa mpaka unaona hiki nini,,,sitasahau pale uchungu umekolea naambiwa nenda kafate dawa nje( sikujua kumbe wanataka rushwa) nikaanza kutambaa kwenda( kumbuka sakafu ya leba na serikalini uchafu wake) nilipofika mlangoni nikaskia we vipi wewe rudi,,utaendaje sasa
Aiseee I have a tale to tell
Mmmmhhhh!!!! Hizo habari mumeo anazijua sipati Picha ningekuwa mumeo hao manesi wangekuwa kaburini Muda mrefu tuSasa hiyo trela,,,kuna kubwa mbili ndo nikikumbuka naliaga tuu
Ntakusimulia moja.
Unajua uzazi wa kwanza unakua hujui vitu ,,sasa ikafika muda nimeshikwa haja ndogo lakini haitoki,( naskia mtoto anaweza gandamiza pale kwenye kibofu)kila nikienda haja haitoki,,nikaanza kuhisi maumivu makali sana,,nikaita nesi,,akaja kwa ukali,, nini?? Nikamwambia nesi tangia Jana usiku sijakojoa mkojo hautoki ( tangia SAA mbili usiku mpaka saa mbili asbh) akanambia pumbavu wewe kwa hiyo Mimi Nije kukukojolesha Nina kazi zangu usiniite ,,akaondoka. Kufika saa NNE nikaona kama sasa nakufa,, kama nataka kupasuka,,nikaita kwa yowe kubwa kwa uchungu sana,,,nilikua na mwenzangu mmoja( tuliweka chumba chetu Tulikua na pressure) akaita nesi njoo naye akawa anaogopa akajua nakufa,nesi akaja nikamwambia tena akafyonza akaondoka, ,Bahati muda ule kuna kijana wa field akapita ( Mungu ambariki aliko) nikamwambia akasema nipe hela nikanunulie mpira nje,,akaja akaniwekea ,,yani pale pale kifuko kikajaaa,,akasema Dada ulikua unapasuka kibofu,,SITASAHAU ,,,
Ulichukua hatua gani???? Ilibidi ule nao sahani mojaIliwahi tokea mke wangu kapigwa picha kaambiwa ana mapacha but mwisho wa siku akapewa mtoto mmoja mfu tena kwa ukatili wa hali ya juu.Hadi leo nikiangaliaga ile kadi na mimba ilivyokuwa kubwa na kumtesa hadi namuogesha nakumbuka mengi.Manesi wengine siyo kabisa.Duuuh.
Pole sana aiseee, hospital ya serikali au PrivateDa!! Mie nkikumbuka niliteseka acha kabsa , nlkua na mapacha wakiume, mmoja akatoka ametanguliza miguu na mwingine mkono, ila wapili akafariki, pindi hajatoka wapl nilhis kufa, yaan mpka Leo hii Picha ya mtoto yule haijafutika machoni najitahid kumtoa akilin nashindwa
Kama na mazazi wako/mama yako angeogopa kukuzaa ungeiona hii Dunia?poleni,kama kuna jambo naliogopa maishani ni kuzaa lol
Wao wenyewe wakaanza kujifanya kushangaa na kumtupia lawama mtu wa picha lakin akawaambia ana uhakika na majibu yake.Ukweli niliishia kuumia hadi leo sikuchukua hatua yoyote ukizingatia hata pesa nilikuwa sina for that time.Ulichukua hatua gani???? Ilibidi ule nao sahani moja
huu ndo ujinga wenyewe!Pole Sana, mimi pia ni mchanga wa hospitali zetu za serikali. Ila hakikisha kama mkeo ni mjamzito uwe unamweka kwenye maombi Sana. Pia kumbuka kuombea hao watakaomuhudumia mkeo. Ni jambo dogo lakini limetusaidia Sana. Mungu anasikia na atajibu. Usiku mwema.