diclopar za 5 days haziwezi kuleta gastric irritation kama huna history hiyo. wizi tu, na antiacid zenyewe wanauza 20,000/= ndo zao, kuna siku nilienda na eye irritation dr wa macho ananiambia nifanye full blood picture na hiv test! nikamuuliza how is it related to my problem? manake nina haraka and i do annual medical exam. mhindi anauma ulimi tu. nikamuambia nitibu niende zangu!
ntake radhi mzee wangu, aisee:doh:Hebu jifanye mwanamke kwa leo tu..........................
u cant blv, i had recurrent malaria karibu kila mwezi. nilikwepa hizi dawa becoz of the yellow color (yes, im that silly). bt nilipoona sina alternative zaidi ya drip za quinine which is the last line of treatment, nikajitosa msetoni. nina 2 yrs sasa bila malaria!
Acheni kuchakachua hii siredi jamani,rudini kwenye point bana!
Nimeipenda hii!natafuta mwanasheria hapa hapa jamvini,
naenda kusema alinibaka, nilichelea nikiwa natafuta ushahidi.
tanzania tanzania,
nakupenda kwa moyo wote,
nchi yangu tanzania,
jina lako ni tamu sana,
nilalapo nakuota wewe,
niamkapo ni heri mama weee.....!!!
SAMAHANINI NILIKUWA NAPITA TU....:A S 465:
Wewe Jela inakuita kabisaaa...........sio rahisi hivyo!