Wanawake tu, ndio wajibu swali hili

Law of flotation. Nijaribu uone, utajikuta unaogelea kwenye the best Swimming pool in town. Maiti yako ikitoka hapo hakuna cha heshima ya mwisho, wala kubebwa na Corona. Wanakufunga kwenye tambara jeupe na kupelekwa kunako.

Mtambuzi unacheza sana wewe, Labda hao wanawake wajinga wajinga!!

Pata kisa hiki. Kwa walioshi kigoma, kuna jamaa alienda kule na mbwembwe za kutembea na wake za watu. Kwa kejeli zake akauliza hivi hawa wanawake wanajipendekeza kwangu ni kwamba wanaume wao hawawatoshelezi?

Mwenye mke akasikia, alikuwa na hela ndefu sana, akaachia hiyo hela kwa jamaa fulani wanakula msuba (almaarufu kama WAYEGE toka GUNGU). Wakakoka siku hiyo, jamaa kanunua Video camera akawapa wakamsaka (wakamsodoma na kimgomora at the same time). Wakatoa picha kwenye internet walivyokuwa wanajipinda mgongo kwenye ile shughuli. Aaagh! It was hell!

Jamaa akarudi mjini na kunywa sumu. Amepumzika huko jehanamu anatembea na wake za mashetani. Nini kinashindiikana!!

Ipo adhabu ya kujichukulia sheria mkononi...............!
 
Back
Top Bottom