Wanawake tu, ndio wajibu swali hili

diclopar za 5 days haziwezi kuleta gastric irritation kama huna history hiyo. wizi tu, na antiacid zenyewe wanauza 20,000/= ndo zao, kuna siku nilienda na eye irritation dr wa macho ananiambia nifanye full blood picture na hiv test! nikamuuliza how is it related to my problem? manake nina haraka and i do annual medical exam. mhindi anauma ulimi tu. nikamuambia nitibu niende zangu!

Acheni kuchakachua hii siredi jamani,rudini kwenye point bana!
 
Siwezi kuwa mtumwa wa ngono kisa anapicha zangu za utupu, nitwenda kumshtaki polisi tena hizo picha ndo zitampeleka segerea
 
u cant blv, i had recurrent malaria karibu kila mwezi. nilikwepa hizi dawa becoz of the yellow color (yes, im that silly). bt nilipoona sina alternative zaidi ya drip za quinine which is the last line of treatment, nikajitosa msetoni. nina 2 yrs sasa bila malaria!

hizo dawa kwa kweli zinafanya kazi, ila kero yake ni hiyo misiku ya kuinywa na kale kaladha kake, mhhhhh! binafsi zimenifanya nifurahi maana huu ni mwezi wa sita sasa malaria naiskia tu wakati huko mwanzo ilikuwa ni kila baada ya wiki mbili. jamani tumieni hizo dawa zinatibu sana
 
Mie wala sitahangaika naenda kutoa taarifa polisi namchukulia rb,
Then namwabia aende tu akasambaze,
Akifanya kweli hapo ndipo sheria itachukua mkondo!
Japo najua akiona sitetereki kumbembeleza atajua najiamin kiasi fulan na naweza kumfanyizia na yeye!
 
Ukiona mwanaume anataka blackmail mwanamke kisa abaki naye kimapenzi basi huyo ni dhaifu na hafai kuwa mpenzi.
Mwanaume dizaini hiyo hupaswi kumpa fursa.Nitamwambia kasambaze na kama huwezi sema nikusaidie kuzisambaza.Haitaishia hapo. Kwa vile kaanza ligi unamwendea mwendo wa kimafia kwa kudeal naye perpendicularly.Unatumia nguvu zote kumvunjavunja zikiwemo mbini za kishenzi zaidi ya za kwake. Kwanza ajue kuna dealers wanasubiri kazi tu mradi walipwe.
 
mmh, nitajitaidi kuwa mpole na mtiifu, wakati huo namfanyia mawindo yani akijisahau akaiacha hiyo simu mim ni kuichukua na kuichoma moto tena kwa petroli na relationship inakomea hapo.
 
natafuta mwanasheria hapa hapa jamvini,
naenda kusema alinibaka, nilichelea nikiwa natafuta ushahidi.
 
tanzania tanzania,
nakupenda kwa moyo wote,
nchi yangu tanzania,
jina lako ni tamu sana,
nilalapo nakuota wewe,
niamkapo ni heri mama weee.....!!!

SAMAHANINI NILIKUWA NAPITA TU....
:A S 465:
 
tanzania tanzania,
nakupenda kwa moyo wote,
nchi yangu tanzania,
jina lako ni tamu sana,
nilalapo nakuota wewe,
niamkapo ni heri mama weee.....!!!

SAMAHANINI NILIKUWA NAPITA TU....
:A S 465:

Unaipenda wakati wenzio wanakula nyasi na shida kibao!Fikiria na chukua hatua.
 
Dawa ndogo tu,, Kumuua kabla hajasambaza.

Na kama ameshasambaza, unamtafutia mabaunsa, mbwa, punda, kondoo, mpaka sokwe wamle tigo halafu unamuua.

Na kama mpaka sokwe alipomla tigo jamaa anafurahia kabla ya kumuua, unamuwekea supa glue kwenye tigo na kukibana vyema kitigo chake na zoezi linarudiwa upya then unamuua.

Kama ulipomuua akawa amekufa huku anacheka,,,,, lazma amalizie kwa kuny**nya mashine zote kuanzia za baunsa mpaka sokwe.

UNYAMA UNYAMA TU.

Nikienda gerezani nitajipanga upya lakini roho yangu imesuuzika
 
Mchambuzi,hebu nichambulie kidogo....wakati napigwa hizo picha bila mm kujua na kuwa nimelala(tena nimezimika kwa kilevi) au ni mapenzi na machejo nampa???
 
Wewe Jela inakuita kabisaaa...........sio rahisi hivyo!

Law of flotation. Nijaribu uone, utajikuta unaogelea kwenye the best Swimming pool in town. Maiti yako ikitoka hapo hakuna cha heshima ya mwisho, wala kubebwa na Corona. Wanakufunga kwenye tambara jeupe na kupelekwa kunako.

Mtambuzi unacheza sana wewe, Labda hao wanawake wajinga wajinga!!

Pata kisa hiki. Kwa walioshi kigoma, kuna jamaa alienda kule na mbwembwe za kutembea na wake za watu. Kwa kejeli zake akauliza hivi hawa wanawake wanajipendekeza kwangu ni kwamba wanaume wao hawawatoshelezi?

Mwenye mke akasikia, alikuwa na hela ndefu sana, akaachia hiyo hela kwa jamaa fulani wanakula msuba (almaarufu kama WAYEGE toka GUNGU). Wakakoka siku hiyo, jamaa kanunua Video camera akawapa wakamsaka (wakamsodoma na kimgomora at the same time). Wakatoa picha kwenye internet walivyokuwa wanajipinda mgongo kwenye ile shughuli. Aaagh! It was hell!

Jamaa akarudi mjini na kunywa sumu. Amepumzika huko jehanamu anatembea na wake za mashetani. Nini kinashindiikana!!
 
Back
Top Bottom