Wanawake tu, ndio wajibu swali hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake tu, ndio wajibu swali hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Nov 20, 2011.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hebu tuchukulie kwamba, kuna mwanaume amekutongoza kwa muda mrefu sana, na baada ya kujiridhisha kwamba yuko serious ukaamua kuwa na uhusiano naye ukiwa na matarajio makubwa juu yake.
  Lakini, kumbe siku mlipokutana kimwili alikupiga picha kadhaa bila wewe kujua mkifanya mapenzi, na picha nyingine ukionekana kitandani kama ulivyozaliwa. Baadae unagundua kuwa jamaa huyo ni kicheche, yaani hajatulia. Unapomwambia waziwazi kuwa hupo tayari kuendeea kuwa na uhusiano naye kutokana na tabia yake hiyo, anakuonesha hizo picha na kukutishia kwamba atazisambaza mitaani na kwenye mitandao ya kijamiii ili kukudhalilisha. Anachotaka ni kukufanya mtumwa wake, ufanye vile anavyotaka na usithubutu kutaka kuachana naye.

  Hebu niambie, kama ni wewe ungefanyaje?
   
 2. Geen

  Geen JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Namkodishia wahuni wa ku m cameroon na kumpiga picha,then tuone nani mshindi
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Hee!Samahani kumbe hiki choo ni cha kike!!
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kama akifanyiwa hivyo na akadai msimamo wake ni huo huo, na hatojali kusambazwa kwa hizo picha zake, itakuwaje?
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Jifanye mwanamke kwa leo........................
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Hili picha lazima stelingi wake awe mbwa,maana mastelingi wanawake huwa wanakufa picha ikiwa haijaisha halafu inamaliziwa na mbwa!
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Polisi moja kwa moja ......ahsante
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Ushindwe na ulegee!!Hebu anza wewe kujifanya mwanamke!!
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Itakua rahisi hivyo Gee?!!..,,..Ngoja leo niwaone wanawake hapa maana nitajifunza kitu!!
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tabu hamna hapo. Ni kutumia vyombo vya sheria tu basi.
   
 11. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Unakubali kuwa mtumwa, in a month (silence killing) sikwambii namuuaje?. Hivi kweli kunakitu kinachomshinda mwanamke katika ulimwengu huu? Utanifanyaje mimi mtumwa wako.
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Wanawake kwa kurahisisha mambo!Haya bana,mi nawasoma mawazo yenu tu!
   
 13. Geen

  Geen JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hiyo ikishindikana polisi moja kwa moja,but am sure haiwezi kushindikana labda kama ni gay na anataka kubakwa daily
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Na kama kweli yeye ni gay na haoni hatari yoyote zaidi ya kumsaidia kutangaza tu biashara utafanyaje?!!..
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Na kama kweli yeye ni gay na haoni hatari yoyote zaidi ya kuona tu unamtangazia biashara,utafanyaje?!,.
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Gaijin kwanza jiulize maswali haya:
  Je, ushahidi unao?
  Je, rushwa unayo?
  Je, unaweza kuvumilia kejeli za Mapolisi pale kituoni, kumbuka huyo kijana ataonekana ni kidume na wewe utaonekana ni malaya..
   
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Wewe Jela inakuita kabisaaa...........sio rahisi hivyo!
   
 18. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ushahidi kuwa anazo picha sina (unless awe kama amenionyesha), lakini ninaweza kufungua mashitaka kuwa "amenitishia". Ni sawa na kufungua mashitaka pale mtu anapokutishia kukuuwa japo ikiwa alikutishia mkiwa wawili tu peke yenu.

  Sihitaji rushwa kwa sababu ni haki yangu ya msingi. Hakuna means nifike polisi kisha wasiandike kesi wanidai rushwa

  Kejeli za mapolisi hazinihusu wala sizijali hata kidogo.
   
 19. Nizzo

  Nizzo Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  dawa ni kumdelete afanye anachofanya tu, kwan huo co mwisho wa kupendwa, though afanye hivyo akijua malipo ni huku huku kitaa. hajui kesho yake!!!
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Uki-complicate utapata faida gani?

  Vyombo vya sheria vipo, vitumike
   
Loading...