othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,636
- 12,114
We ulipaswa uzaliwe kanda maalum, huku hatupendagi ujinga.Wanawake wana maajabu jaman. I have a friend ambaye mwanamke anaeish nae amemkataza jamaa asije hata kwangu sababu mimi namwambia jamaa ukweli, huyu mwanamke anamtesa jamaa na kamfanya jamaa zombie familia ya jamaa yote wanajua na hawana la kufanya. Ukimuuliza jamaa anasema yeye ana exercise haki sawa. Mfano, most of the times jamaa akiwa hayupo job au kwake he is hanging with me, he is my best friend sasa basi atapigiwa video call ataulizwa upo wapi, upo na nani ? nimwone huyo mtu , na vitu kama hivyo mshikaji anakuwa forced kudanganya sana ili aaminike, anateseka sana. Mmeenda sehemu mmeagiza nyama na bia moja moja itapigwa simu(video call), uko wapi , nataka baada ya dakika tano uwe hapa, jamaa atatoka nduki kama kafungwa engine ya jet.
Mimi sio muumini wa mambo ya haki sawa kivile ila pia i dont oppress women. Ila kupitia mfano wa jamaangu aisee mwanamke lazima awe chini yangu nikikuona unaleta ujuaji nakukula kimasihara nakupiga chini kimya kimya hata hauta jua na wala huwez leta kiherehere yako sababu i will be very very aggressive and cruel na nakosa kabisa ushirikiano, huo ushetan wako mpelekee mwanaume mwingine sababu kuna wale mazombie wa YES MADAM ALL THE WAY...
Umeongea vizuri sana Madam Mwajuma, heshima na utii kutoka kwa mke lakini upendo kutoka kwa mume, tujadiliane kwa upendo na heshima, tusiweke mambo moyoni, lakini tuongee kwa staha.Kimsingi heshima ni kiunganishi kikubwa sana baina ya wanyama, binadamu wote hata kazini, barabarni, kwenye familia, bus n.k. Panapoishi watu zaidi ya wawili yawapasa kuheshimiana.
Tunamfundisha mwanamke heshima tunamuacha mwanaume kwenye mafundisho haya tunakosea. Mwisho tutakuwa na familia zenye mama mwenye heshima ila baba ni mkiritimba, hashauriki, anafanya lolote na haulizwi, anasaliti ndoa ila anapaswa aulizwe kwa unyenyekevu wakati kaumiza mwenzake.
Madhara yake ni kuzalisha vizazi vya wanawake wenye visasi kulipiza kulingana na maumivu waliyoyapitia muda mrefu.
Kina baba, kina mama, watoto hebu tuyeyushe mioyo yetu! Tujaliane, tuombane radhi tunapokoseana, tusichepuke, tusiwe na masiri mazito mazito yakuangamiza familia.
N:B. Familia lazima iwe na kiongozi mmoja ambaye anatambulika ambaye atatoa kauli ya mwisho baada ya kusikiliza kwa makini maoni ya mwezake.
Vua nguo basi halafu tupia jf tuone wildism yakoMzee jiheshimu basi, usinifungue turbo asubuhi hii..Tafadhali sana!!!
Huyo mwanamke ana point ambayo iko blank kabisa. Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazma ataing'amua ila kama umeamua kuwa mpinzani kaa kwa pattern mzee. Mie ni mtu cool sana ila dkk 0 naeza kuwa wild katika namna ambayo huwezi kuamini. Jiheshimu!
Subiria giza liingie we Ndigidii nije kuku chocha...Naona nyege zimekuanza asubuhi leo! Nipo mishe now, we kioshe ukipake wese kitako dinda iko ntakiranda nikija.Sawa marioooo, sawa dada amina kaa hapo ndani uoshe vyombo, upike mkeo aje kula
We ndio shoga huishi kuwatajataja, unaurafiki na James delicious sio bureeeeeNaona shoga Shomari unatafuta bwana naww
Huwez kuniita mwanamke mbele ya kadamnasi ya watu ambao tunaheshimiana. You don't know me like that mwasi kitoko! Unanletea shombo mzee, mie ni zaidi ya ferry!!!Kaanza na ujinga kusema naropoka sikua na haja ya kufika huku, kuna muda mtu anakujaribu ili aone upande wa pili wa shilingi
Hahahah twambombo?
We tulia si nimesema yameisha au una lingine, ujuaji mwingi wa maneno unakusaidia nini zaidi ya kukuonyesha jinsi ulivyo, una maneno meeeeeengiiiiiiiiii,Huwez kuniita mwanamke mbele ya kadamnasi ya watu ambao tunaheshimiana. You don't know me like that mwasi kitoko! Unanletea shombo mzee, mie ni zaidi ya ferry!!!
Shoga wewe huna loloteHuwa nawapiga pipe range kimafia! Sio mbaya ukiingia kwenye queue maana unaonekana unaitaka huduma...Unadandiaje visivyokuhusu?
Ndio maana nilikuonya mapema sana. Next time jiongeze af uache mambo ya kiquma ****, sio kila mtu ni fara humu...Done with it!!!We tulia si nimesema yameisha au una lingine, ujuaji mwingi wa maneno unakusaidia nini zaidi ya kukuonyesha jinsi ulivyo, una maneno meeeeeengiiiiiiiiii,
Usichoke kusikia ukweli my sista. Mume na mke wakiishi kama Mungu alivotuelekeza mbona ndoa ni paradiso kabisa. Shida tumekengeuka
After all hizo za kidhungu mnazo-refer to mbona hazidumu sasa?! Hakuna watu wenye mahusiano delicate kama wazungu. Si bora mara 100 ndoa zetu hizi za kiafrica zinadumu.
Sawa na wewe uache ushoga, ili uepukane kukutana na watu wasiopenda mambo ya kishoga,Ndio maana nilikuonya mapema sana. Next time jiongeze af uache mambo ya kiquma ****, sio kila mtu ni fara humu...Done with it!!!
Kaufyate kwa mkeo maana ndiyo anakulisha,Ndio maana nilikuonya mapema sana. Next time jiongeze af uache mambo ya kiquma ****, sio kila mtu ni fara humu...Done with it!!!
Shoga ni mtu mwenye shobo siku zote hasa akiona shababi anafanya yake! Sarcasitically inaku reflect, Ukiona post haikupendezi unapita kinyele sio unaanza kubabaika na walume...utapigwa mma!Sawa na wewe uache ushoga, ili uepukane kukutana na watu wasiopenda mambo ya kishoga,