Wanawake this is the harsh reality

Sema na sisi wanaume tusijiweke kwny kinvuli cha uanaume kutesa watoto wa watu natural tu mke ni mvumilivu sana sasa wengine huingiza hata wanawake wengine chumban kwao mbaka mke anapambana na ww ujue umefanya mengi ya kijinga
Na ukikuta mpaka kidume kinaingiza girl ndani ukute mke jeuri imekuwa ya hali ya juu, vingine vikishika hela kidogo halafu wewe uko p mziki wake sio wa kitoto
 
Mwanamke na mwanaume hawapo sawa...japo Ni marafiki wakuubwa Sana..niwatu wakaribu Sana..

Mwanaume Ni Authority na anapambana kwa ajili ya familia..sijui Sasa Unvyotaka amtii mwanamke una maana gani.labda sijakuelewa.
Mi naona tutiiane
 
Unajitambua.
 
Utakuwa na asili ya upumbavu kama utamuingizia mkeo malaya ndani. Mwanamke ambaye anakupa nafasi ya kutamba kama kidume with full respect.
alichosema huyo hutokea, kuna wanaume huitumia vibaya nafasi yao lakini kwa kua lawama za ndoani ashatupiwa mwanamke zigo hubebeshwa yeye, kuna me wanaongea na michepuko hata wakiwa mbele za wake zao alafu ke akija zingua utasikia wanawake wa sasa hawafai, tukiishi nafasi zetu za uanaume kama walivoishi mitume wa mungu kwa kuwaheshimu wake zao sidhani kama haya makando kando ya wanawake tutayaona, tizama ibrahimu alipotaka kuzaa na kijakazi wake alimuomba ruhusa mkewe na wala hakumkosea adabu kisa hazai ndo maana hata kijakazi alipokosa adabu kwa sarah kisa kuzaa bado ibrahim alimsikiliza mkewe na kumuondoa kijakazi ili mkewe asikwazike, huu ndo uanaume tunaotakiwa kuwa nao na sio kuwakandia tu ke akati hata sisi wenyewe baadhi ni mapopoma na ndo waanzilish wa migogoro mingi ndoani
 

" Wewe Ni mtamu hatariii "
 
Mwanamke muheshimu mumeo na mwanamme mpende mkeo basi.
 

And you’d always here about what a woman has to do for a man to keep him, but never will you ever hear nothing about how men should behave to keep their wives... I’ve been fed these nonsense for so long I’m actually really tired of hearing them
nimechoka kusikia hizi habari za kuongelesha wanawake jinsi ya kuvumilia ujinga na kuwa submissive kwa wanaume ambao hawajielewi kabisa, ndoa ni ya watu wawili lkn ndoa nyingi za africa wanawake ndo wanafanya kazi kubwa kuziweka ziwe in shape ndo mana zinafeli. Lets stop all these please tuongelee vitu vingine
 
Siungi mkono hoja, mwanamke akishakua talkative anapoteza mvuto wa kuwa mkr bora/mama bora,
 
Hiyo ya kujifanya kuwa open open open sipendezwi na mwanamke anaezungumzia sana mahusiano yake au kumuongelea mume wake either kwa mazuri au kwa mabaya, usi support hii rubbish,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…