Wanawake this is the harsh reality


Mwanamme mpigaji,yuko basi tu untolerant, atakupiga kwa lolote, ukiona mke abuser muache aende zake, kumpiga sio solution, and wanaume wengi wanakua provoked and dont resort into violence...iweje wewe umpige?
 
Mke atakutukana hivi hivi tuuu...yaani nije kukuambia Extrovert wewe ni mshenzi out of nowhere...maajabu haya...kama wewe unavyosema mtu akimpiga mkewe kuna sababu,pia mtu akimtukana mumewe kuna sababu..sasa mbona mke hakuanza na mangumi bali matusi?
Tusiende mbali katika mahusiano ya hao mnaoita victim. Ulizia mpaka kufikia kupigwa tatizo lilikuwa ni nini?
Aulizwe mke akiwa na mumewe utaona uhalisia ulipo. Poor communicatons! Women are good speakers but poor communicators!
 
How did you raise your concerns? Ulikaa ukaongea kama mtu mzima au ulianza kwa kufoka na makelele as if you are an idiot.
Mke akiwa psychologically abuser anaharibu chemistry yote ya upendo na amani. Ndo matokeo yake ni magomvi na mwisho vipigo

Mwisho vipigo, je vinasaidia?? mwanamke pekee ndio afanye ku raise concerns mume je??? alifanya nini baada ya kutukanwa,kupiga ilifanya ndoa iwe na chemistry ya upendo??? hujielewi wewe...
 
Mwanamme mpigaji,yuko basi tu untolerant, atakupiga kwa lolote, ukiona mke abuser muache aende zake, kumpiga sio solution, and wanaume wengi wanakua provoked and dont resort into violence...iweje wewe umpige?
Wanawake 80% ni verbal abusers!

Tutaacha wangapi? Kwenye idadi ya wanawake 15 basi zaidi ya 7.5 watakuwa vidomo domo. Na mke anakuwa spanked tu ili kumrudisha kundini, ukiona anapigwa jua amefikia stage kashindikana.

Kwa mtu mwenye hekima huwezi kumuacha mke kirahisi. Utajaribu kumuelekeza na akiwa msikivu basi mnasonga pamoja kimaisha.
 
Mwisho vipigo, je vinasaidia?? mwanamke pekee ndio afanye ku raise concerns mume je??? alifanya nini baada ya kutukanwa,kupiga ilifanya ndoa iwe na chemistry ya upendo??? hujielewi wewe...
Mume hawezi kupiga bila kuongea na wewe ukamjibu kunya. Intention yako ni kumuumiza ila akikulipizia yeye ndio mbaya.
 
Mwisho vipigo, je vinasaidia?? mwanamke pekee ndio afanye ku raise concerns mume je??? alifanya nini baada ya kutukanwa,kupiga ilifanya ndoa iwe na chemistry ya upendo??? hujielewi wewe...
Vipigo vinasaidia kwa wake kurejea katika adabu ila kwa magube gube kama kiria huwatoa katika ndoa kwa ujujaji mwingi.
 

hahahahahah bora umekuja na statistics...ukielewa kuwa majority ya women ni verbal abusers utaishi nao kwa akili, sijui nani alikuambia kumrudisha mwanamke kundini ni lazima umpige??? nimekupa stratergies pale juu..is either uignore ama ushirikishe wengine na sio kumpiga, anyway ushakua na jirani ambae anampiga mkewe?? je ilitokea mara moja?? au ni swala linalokua repeteadly si ndio???? sasa utamrudisha 'kundini' mara ngapi?
 
mzee umeoa?
 
Umeanza vizuri hapo mwisho kwenye reference ya wazungu ndio umeharibu, Hawa watu taasisi ya ndoa imewashinda kabisa, wanaweza uhusiano simple tu, sio watu wa kuwatolea mfano, family values kwa wazungu zimeshuka Sana, hawawezi kuishi ndani ya ndoa, hawawezi kulea watoto wao kwa maadili.

Kama unataka kuishi ulaya sawa ni vizuri ukaendelea kuwafanyia reference hao watu, kama unataka kuishi Africa especially Tanzania, just be yourself, angalia vitu kwa uhalisia wake, na tumia busara uliyopewa na Mungu na mambo yataenda vizuri. Family values za ulaya na tofauti kabisa na za sehemu nyingine, iwe Asia or Latin America.
 
Tuwe tu honest; Waafrica wanaoziishi ndoa kama zinavyotakiwa ni wachache. Wengi tunaishi tu ni vile tuna watoto basi maisha yaende tuje tufe tupumzike kwa amani. Ndoa sio kitu chema tena kama Mungu alivyotuagiza, umekuwa uwanja wa Mapambano. Yes ndoa yoyote isiyo na amani; will affects the kids badly kuliko separation ya amani. Sio kwamba sisi tunajua sana kuishi kwenye ndoa; huku tunang'ang'aniana tu tukihofia jamii itatuonaje tukiachana; mwisho wa siku tunachomana visu, mara kuchomana na magunia ya mkaa.

Hizo family values hata kwetu waafrica hakuna; angalia single parenting families zinavyozidi kuongezeka kila siku. Sipati picha ikifika 2025 tutakuwa na single parents wangapi. Hivyo hata sisi ni wale wale kasoro rangi
 
Family values zipo, suala zinafundishwa? Je zinafuatwa. Je tunaishi kwa uhalisia, tunafuata jinsi dini zetu zinavyoamrisha. Je, tunaandaliwa kuishi kama watu wanaoheshimiana? Hili sio katika ndoa tu, angalia tunavyoishi na majirani zetu, makazini, barabarani, je tunaishi sawa?

Kuna tatizo somewhere, hebu mtu aniambie nyumba ambayo mzazi Sasa hivi anawaambia watoto wake kama ukikosea unatakiwa kuomba msamaha, je ukitaka kufanya kitu katika himaya ya mtu, unatakiwa kupata consent yake, je tunawafundisha watoto wetu kuomba radhi.

Mume au mke mzuri anaandaliwa. Binadamu anayejali watu, mwenye huruma anaandaliwa, Haibuki kama upepo tu.
 
Mwanamke aliyeshindikana utamtambua kwa matendo yake,kama huwezi kuona anayofanya utamtambua kwa maneno yake.
 

Hapa sasa tupo sawa.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…