Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,616
Vipi uchaguzi wenu wa Wanyeviti wa mitaa wa kuteuliwa?...haahaaViti maalumu vikitutwa huku chadema itakuwaje hatuta baki na wabunge 2020
State agent
Mikorogo inafanya ngozi iwe nyepesi kwa hiyo magovi yanawaumiza.Sisi wabunge wetu wanawake wa CCM wanadai kuwe na mashine bungeni ya kukagua wabunge wanaume wenye magovi😂😂😂😂
Nje ya mada kidogo,una uhusiano wowote na memba humu jf anaitwa jingalao au ndio ww mwenyewe?Viti maalumu vikitutwa huku chadema itakuwaje hatuta baki na wabunge 2020
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
hujui hata asili ya viti maalum umekalia majungu ya chadema tu mpuuzi wewe. kwa taarifa tu hayo ni makubaliano ya UN kwamba kuongeza idadi ya wanawake kwenye uwakilishi pawe na viti maalumu kwa kujua hilo ndo maana rwanda wao wanatenga majimbo kabisa kwamba hayagombewi na mwanaume wanashindana wanawake tuu. we kwa akili zako kama sio viti maalumu wale kina vulu wangemshinda nani jimboni?Viti maalumu vikitutwa huku chadema itakuwaje hatuta baki na wabunge 2020
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app