Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Nashindwa kuelewa nini hawa wenzetu wanakuwa wanamaanisha.
Utawasikia lazima tupate 50/50 maana binadamu wote ni sawa na tunaweza kufanya kazi zote zinazofanywa na wanaume.
Lkn wakati huo huo wanalilia kupewa nafasi za upendeleo yaani viti maalum!
Nashindwa kuelewa nini wanakusudia kulielimisha taifa juu ya uwepo wako ktk jamii.
Ni kwanini wapewe upendeleo wa kupitia viti maalum?
Je hawajiwezi kusimama majimboni kugombea ?