KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
Kama hujaolewa ni pm.
Uje na parachichi!Nakuja kula
Kazi unayo dah!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Well, no problem! I will be deleting all the chats every where from every app. Halafu nakupa simu. Na majina 98%ya wanaume.
Hivi unajua style mpya ya siku hizi??
Kazi utakuwa nayo wewe unaetaka kuchunguza.Kazi unayo dah!
Hapana style gani?
Mmhh uko hivyo kweli?Mie kwanza tu mwanamke huwa namchukulia kama mtoto always. Akiwa ana kosa huwa mwepesi kumsamehe ila ntamsema sana na huwa sichoki kumsema.
Ndio maana hata mahusiano yangu huwa ya muda mrefu cause namoyo wa huruma sana. But unapofanya vitu vya kingese kama kucheat huwa sina huruma.




Uje na parachichi!
Unakulaga ugali dagaa kweli? Nisije kulisha zikaanza kufufuka huko tumboni.
Ee kila siku mnabuni mbinu mpya!Kazi utakuwa nayo wewe unaetaka kuchunguza.
Nowadays we use emails
Imeandikwa ktk Biblia Takatifu kwe kitabu cha Mithali 31:
Kuna mstari unasema;
“ mke mwema hakusi kuzijua njia za watu wa nyumbani mwake “
Maana yake mke mwema anapswa kujua tabia za kila member of the family,
Ikiwa tabia ni njema awatie moyo na kumentain,
Ikiwa kuna viashiria vya tabia mbaya basi atagundua mapema na kuchukua tahadhari kabla hatari kutoa!
Mmhh uko hivyo kweli?
Unaona sasa? Wewe wa bei kali !Akaa mi nakulaga wali maini
Kwa hiyo wewe unawaogopa wanaotuweka kwenye mabeseni na kutubeba migongoni tu?? In comparison na hawa wenye uchawi wa kizungu???Ee kila siku mnabuni mbinu mpya!
Hao wanaojua kutuma email hawatiii stelesi kama hao wengine wanaowaweka kwenye mabeseni na kuwabeba mgongoni
Sio wa bei kali, hicho chakula unachotaka kunipa ndio nakula kila siku kwangu, raha ya kudowea upate vitu adimu ambavyo kwako inapita hata miaka miwili hujatia tumboniUnaona sasa? Wewe wa bei kali !
Mkuu mbona unakuwa kama ni mgeni wa mambo? Kwani wewe haujawahi sikia watu wanaenda kwa waganga wanapewa masharti ya kufanya mapenzi na vichaa au kuwazalisha kabisa na wengine wanaambiwa wabake wanyama au ndege?Mimi nimekaa Tanga kidogo, mitaa ya chumbageni kuna mkichaa akiitwa pili magogo, ni mchafu balaaa na bado washkaji na akili zao walimzalisha.
Huwezi amini wala kuelewa kwamba eti yule watu wanamfuata wakimpenda. Hivi umewasikia wale wanaobaka kuku, bata ma mbuzi???
Sasa huyo wa mwenzio umeshasikia akirudi anaanza kujisemesha anaomba msamaha je na wewe ukirudi unafanya hivyo au ndo unajifanya kauzu?