Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622

achana na sisi
achana na sisiAsalam aleykhum husatazatsijawahi kuwa na mashaka kabisa ila hata mbuyu ulianza kama mchicha si unajua
Yaani katika vitu sitakaa nijipe stress navyo ni hiyo kubambikiwa. Mimi my parents wamefanikiwa kuimplant belief ndani yangu kwamba may be I will live up to 60 years of age halafu ntakufilia mbali.Hahahaha amini nakwambia hii comment wataipita kama hawaiyoni
Babe this is my friend ReliefAsalam aleykhum husatazat
sawa my brother, ngoja nipike nasubiria siku ya off nikupigie nina mengi sana.
Hahahahahaahhaahhsijawahi kuwa na mashaka kabisa ila hata mbuyu ulianza kama mchicha si unajua
Kwa sasa bado tuna nguvu za kudeal na tress.
Nakuja kulasawa my brother, ngoja nipike nasubiria siku ya off nikupigie nina mengi sana.
🤣🤣🤣Embu tuone huo mwanyaYaani katika vitu sitakaa nijipe stress navyo ni hiyo kubambikiwa. Mimi my parents wamefanikiwa kuimplant belief ndani yangu kwamba may be I will live up to 60 years of age halafu ntakufilia mbali.
Sasa hiyo belief imenifanya inside nisiwe na worry, mtoto atakaezaliwa ntalea kwa mapenzi yote na naamini fully 100 ni wangu. Sitatia chembe ya shaka na kamwe sitosumbuka. Anyway, my Abouy ametoa copy paste na mimi, mpaka mwanya karithi 😀😀😀😀
Sawa! Nguvu zeshaaaaaKwa sasa bado tuna nguvu za kudeal na tress.
Nikuulize swali wewe mke wako akiwa anafanya mabaya wewe utafanya kinyume chake yaani kwamba ut afanya mazuri? Naomba usiseme kuwa tunashindana maana hata wanawake nao ni binadamu nijibu hapo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acha tu niwe mwanamke mwepesi![]()
HahahaAcha tu niwe mwanamke mwepesi![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Embu tuone huo mwanya
Naona unajipa matumaini 😀😀😀Yaani katika vitu sitakaa nijipe stress navyo ni hiyo kubambikiwa. Mimi my parents wamefanikiwa kuimplant belief ndani yangu kwamba may be I will live up to 60 years of age halafu ntakufilia mbali.
Sasa hiyo belief imenifanya inside nisiwe na worry, mtoto atakaezaliwa ntalea kwa mapenzi yote na naamini fully 100 ni wangu. Sitatia chembe ya shaka na kamwe sitosumbuka. Anyway, my Abouy ametoa copy paste na mimi, mpaka mwanya karithi 😀😀😀😀
Dah! bado sijakata tamaa ya hivyo aisee..
To be fair, honest and Frank, mimi nlitaka na nlishawahi kumuuliza Edelyn Age yake kwenye uzi flani hivi. Na kama anakumbuka atathibitisha hilo. Nakubaliana na wewe kabisa kwa anayoyaandika anaonekana ni beginner kabisaUnajua kingine nimeng'amua kwa mentality yako bado mapenzi uko level 1. Ukicheza nayo walau ukafika level 3 utabadilika automaticaly. Kuna mambo unabido ujifunze.
I tell you one thing, mapenzi ni complicated sana. The first time napenda nilikuwa very controlling. I lost my first love nikiwa nafikiria ndio najenga kumbe naharibu! You cant get past that kama hutachukulia mahusiano ni kitu cha kawaida. Remember jamaa yako alikuwa na maisha yake kabla ya kuwa na wewe.
One of the worst investment nilizowahi kufanya pia ilikuwa ni kumpenda mwanamke katika mtindo unaousema wewe. Malipo yake aliniingizia bwana katika nyumba na kitanda nilichonunua kwa pesa yangu. Labda utapata picha una deal na mtu wa aina gani