Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Mimi nimewaletea ushuhuda tu unaotoka kwa hajat Mtende
Mwanamke wa nguvu
Wewe usitake kila mtu aishi kama mimi, unajua mahusiano ynajengwa na mazoea, sasa mazoea yanageuka tabia, mimi sikutaka kuweka hayo mazoea ya kumfatilia Mr since tulipofunga ndoa, kipindi cha uchumba yes nlikua namfatilia just kupata uhakika ni mtu wa namna gani lakini nilipokuja kustudy vizuri nikamwelewa sijawahi kujipa stress, niliamua kumwamini na nikasema ili imani hiyo iendelee sina haja ya kumfatilia as long ananiheshimu na anatimiza wajibu wake kama mume na kama baba wa familia...what else do i need
 
Neno langu sio sheria, hata nkitaka waishi kama wewe wanaweza wakashindwa. Ila maono yangu ndio hoja, I feel like decision yako is always being taken by those who are in the game for pretty long and they understand the techniques and patterns of it.

Besides nlichowaitia ni waje waone kwamba wapo wanawake wanaokubaliana na hoja za Sky Eclat
 
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?

Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?

Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.

Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Unafaa sana wewe ivi umeshaolewa !!!
 
Kwa hiyo unasema Mtende Amekata tamaa?? Ndio maana akasema hivyo??
Sijakata tamaa ni kumwamini tu na kumpenda...kama angekua ananivunjia heshima au anashindwa kuwajibika kwangu na kwa watoto basi ninvemtilia mashaka...ila unajua all men are cheaters in nature sema tu huwa wanajificha kulinda heshima za ndoa zao...kwa hiyo ukisema umfatilie unaweza jikuta unaomba talaka...

Binadamu hachungwi...halafu tena ukijifanya kumchunga mwanaume ndio unamfanya achepuke...mpe uhuru...atakua anaona aibu mwenyewe tena atakulindia heshima...wanaume wanapenda uhuru na kuheshimkwa sio unamfatafata kama mtoto mdogo mie hata siwezi kumfatilia...watoto wetu wanne huwa nawafatilia haipiti mwezi sijaenda shuleni kwao kufatilia maendeleo yao sasa pata picha unafatilia na mume juu
 
Big up!!!

Khantwe
Hawachi
zeshchriss
Fragaria
cute b
Edelyn

Kazi kwenu sasa
 
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?

Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?

Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.

Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Aise wanawake wote wangekua kama wewe hakuna ndoa ingesumbua
 
Unanipaga raha ya threads zako kuandika yanayokutokea maishani.. ungeandika mfano ikawaje ulipomuwakia eeeeeeh

Mtu ukiwa na mpenzi kuanzia body language na umjuavyo itaonyesha kama ni mchepuko au la.. eti chumbani kwani hawezi kuanza kuongea nae tulipo..

Wanawake wengine ni kuoenda kama mizoga tu na kukubaoi kila wanaloambiwa na mabwana sijui waume zao..

Mtumiege akili kujua mengi hata mkikaa pamoja kwa dakika 5 tu..
 
Back
Top Bottom