Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Unaweza lakini?
Natembeza mkong'oto tuu.![]()
Natembeza mkong'oto tuu.![]()
Ntakupa zawadi nzuri rafiki. Hebu nenda mkadiscuss siasa na mustakbali wa nchi yenu huko siasani😀😀😀😀😀unanifukuza? Siondoki hata
Hata Sina neno nimeelewa maana ya ile comment yakoNini eti???
Hongera! Hukuwa kilaza darasaniHata Sina neno nimeelewa maana ya ile comment yako
Labda unipe kwanza nipimeNtakupa zawadi nzuri rafiki. Hebu nenda mkadiscuss siasa na mustakbali wa nchi yenu huko siasani![]()

nisije nikaondoka kumbe zawadi yenyewe big bom. Mustakabali wa taifa anaujua MaguWeee hakuna mwanaume anayecheat bila kupenda hivi kuna binadamu anayeweza kufanya kitu asichokipenda kweli? Labda kama atishiwe bunduki na wapo wanaokataa mbele ya bunduki yaani wako radhi kufaAkili zao haziko sawa hao, hebu nielewe kidogo.
Hatuchepukagi kwa kupenda mzee mama
aisee kwa hali hii acheni tu wanawake waendelee kuwabambikia watoto tatizo wanaume wanajionaga wajanja sana ila hawajui kwamba hayo mambo wanayoyafanya wao kwa kuyaweka wazi ili kutukomoa wenzao tuna uwezo wa kuyafanya kwa siri
Ndo maana nawaambiaga kamwe wasishidane na walipotoka kuna wanaume miaka thelathini wanalea watoto siyo damu yao sasa si bora sisi ambao unajua kabisa kuwa mume wangu ana mtoto nje kuliko wao wanaobambikiwa
Wanacheza na mwanamke nini Mungu siyo mjinga alipowaambia waishi na sisi kwa akili hiyo ni maana yake sisi tumewazidi akili kwahiyo wanatakiwa wapandishe akili zao zifikie level yetu ndo wataweza kuishi
Na sisi na wanaume wanaotumia ubabe kutawala wake zao hao ndo hawana akili ila wanatumia ubabe kama kujihami tu kuna wanaume wanatumia uhuru kutawala wake zao na wanafaidi ndoa vizuri tu hawajui kuwa mwanamke atakuwa kutokana na vile mwanaume wake anavyomtreat![]()


hawa kaka zetu bwana wanajiona wajaanja....Kweli tupu, mi hata asipoaga kwamba atachelewa huwa siulizi yaani huo muda sina, akirudi anaanza kujisemesha tu na kuomba msamaha,Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Am 30's ila huwa sifatilii hizo habari, nadhani its not about age ila its the way mlivyojizoezaUtakua u mtu mzima sana. Ungekua age ya 30s nadhani pangechimbika.
Sijajua ujana wako dadangu kama hukua unambana sana shemeji.
Tatizo unakuwa kama haunijui nilivyo baunsa.Unaweza lakini?
Hahahaha amini nakwambia hii comment wataipita kama hawaiyoniaisee kwa hali hii acheni tu wanawake waendelee kuwabambikia watoto tatizo wanaume wanajionaga wajanja sana ila hawajui kwamba hayo mambo wanayoyafanya wao kwa kuyaweka wazi ili kutukomoa wenzao tuna uwezo wa kuyafanya kwa siri
Ndo maana nawaambiaga kamwe wasishidane na walipotoka kuna wanaume miaka thelathini wanalea watoto siyo damu yao sasa si bora sisi ambao unajua kabisa kuwa mume wangu ana mtoto nje kuliko wao wanaobambikiwa
Wanacheza na mwanamke nini Mungu siyo mjinga alipowaambia waishi na sisi kwa akili hiyo ni maana yake sisi tumewazidi akili kwahiyo wanatakiwa wapandishe akili zao zifikie level yetu ndo wataweza kuishi
Na sisi na wanaume wanaotumia ubabe kutawala wake zao hao ndo hawana akili ila wanatumia ubabe kama kujihami tu kuna wanaume wanatumia uhuru kutawala wake zao na wanafaidi ndoa vizuri tu hawajui kuwa mwanamke atakuwa kutokana na vile mwanaume wake anavyomtreat![]()
Mie kwanza tu mwanamke huwa namchukulia kama mtoto always. Akiwa ana kosa huwa mwepesi kumsamehe ila ntamsema sana na huwa sichoki kumsema.Nikuulize swali wewe mke wako akiwa anafanya mabaya wewe utafanya kinyume chake yaani kwamba utafanya mazuri? Naomba usiseme kuwa tunashindana maana hata wanawake nao ni binadamu nijibu hapo
Mimi nimekaa Tanga kidogo, mitaa ya chumbageni kuna mkichaa akiitwa pili magogo, ni mchafu balaaa na bado washkaji na akili zao walimzalisha.Weee hakuna mwanaume anayecheat bila kupenda hivi kuna binadamu anayeweza kufanya kitu asichokipenda kweli? Labda kama atishiwe bunduki na wapo wanaokataa mbele ya bunduki yaani wako radhi kufa
Tatizo unakuwa kama haunijui nilivyo baunsa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Labda unipe kwanza nipimenisije nikaondoka kumbe zawadi yenyewe big bom. Mustakabali wa taifa anaujua Magu
KhantweKweli tupu, mi hata asipoaga kwamba atachelewa huwa siulizi yaani huo muda sina, akirudi anaanza kujisemesha tu na kuomba msamaha,
Ukitaka kuishi kwa streaa mfatilie mwanaume, kuna vitu vingine havina hata maana sema wanawake huwa hawaelewi
Sasa una mashaka na ahadi zangu

sijawahi kuwa na mashaka kabisa ila hata mbuyu ulianza kama mchicha si unajuaHahahaha sawa baunsa

sawa my brother, ngoja nipike nasubiria siku ya off nikupigie nina mengi sana.