agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Mimi mwanaume anayetimiza majukumu yake siwezi kumfwatilia .
😂😂😂😂😂 sasa hapa si tunachat tuHalafu wewe si ulisema hizi siyo mambo zako hizi?
😂😂😂😂😂😂🤣
Mkuu, gubu halina sura; Yaani hata akiwa mrembo kama yule wa bongo flava sijui anajiita "super handsome", gubu linabaki pale pale
😂😂😂😂😂 hii akili ganiNa unaona huu uzi wanaume wanavyofurahia kutokufuatiliwa??
Shemeji yako akinifukuza kwa ajili ya kumfuatilia najua kwako hutonitupa..
Loud & ClearHakika yaani kumbe wanaume kama wewe bado mpo dunia hii? Nilishaanza kukata tamaa kutokana na comments za baadhi ya wanaume humu Extrovert Meraki Nyalotsi Relief Mirzska njooni msikie nilichokuwa namaanisha siyo nyie mlichokuwa mnang'ang'ania oohh kushindana kushindana
Hio mikwara tu, kama uliolewa bikra sawaWanzinzi na waasherati hawatauona ufalme wa Mungu.
🤣Dada si ulisema huna wivu weweUvumilivu huo wengine hatuna maana akirudi huko mafichoni kesi yake haina muamuzi.
Kwa hiyo kwenda kuongelea kwetu pembeni ni sawa tusasa si bora hivyo wengine na simu inapokonywa akiskika demu kwenye line. Au unaambiwa weka loud
Mmmh!Mambo ya kiofisi, hujui wengine ni TISS hata wake zao hawatakiwi wajue kama wao ni TISS
Na kama sikuolewa bikra lakini bikra kaitoa yeye yeye kabla hajanioa?Hio mikwara tu, kama uliolewa bikra sawa
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi mtu akionesha dharau hasira zinakuja ghafla sio wivu🤣Dada si ulisema huna wivu wewe
ndio maana yake
Usifanye hivyo babendio maana yake
macho hayana paziaKucheat ni bahati mbaya? Kuchat na wanawake tofauti na mkeo kimahaba ni bahati mbaya? Hivi vitu vina process ndo maana tunawashangaa mnavyosemaga ni bahati mbaya
Bahati mbaya maana yake kitu kimetokea ghafla bin vuu siyo utongoze wanawake huko uhonge hadi ukubaliwe mkubaliane kukutana sehemu mfanye yenu halafu useme ni bahati mbaya? Jamani Mungu anawaona mjue
🤣🤣🤣 Dharau eeh🤣🤣🤣🤣🤣Hivi mtu akionesha dharau hasira zinakuja ghafla sio wivu
hahah nawakilisha wana tu😁Sasa mbona unasimamia kucha kuutetea huu ukiritimba ndugu yangu? Mie lazima nielewe kuwa uko hivyo
Na unaona huu uzi wanaume wanavyofurahia kutokufuatiliwa??
Shemeji yako akinifukuza kwa ajili ya kumfuatilia najua kwako hutonitupa..
Dada kuna michepuko haina adabu inatafuta hadi namba za mke na kumletea ubabe kuna mfano mmoja niliambiwa siku hiyo mke wa mtu amekaa ametulia zake ghafla namba ngeni inapiga kupokea kidada kinajitambulisha kama mchepuko wa mume wake halafu kwa kejeli kinasema eti "nina mimba ya mume wako" yule mke alitumia busara sana kumjibu akamuuliza kwa upole tu "kwani yeye mwenyewe umeshamwambia?" eti kakajibu "ndiyo anajua" mke akamwambia "sasa kama yeye tayari umeshamwambia anajua mimi unaniambia ili nifanyeje?" kenyewe kakaona aibu kakakata simu hii michepuko saa nyingine ndo ina kiherehere cha kutafuta namba za wake haya unakuta mume alikuwa anaficha ila mchepuko ukafichua hapo mke afanyeje jamani?Unaongea kama kuna aliyekupigia simu na kutukana au amekukosea heshima lakini kuchunguza simu hakusaidii, mwenye tabia yake anayo tu.
Eti eeh, but kimsingi tunaungana kwenye 6×6 mamiiUsifanye hivyo babe