Asante my brother mzima wewe?Nakusalimia pia my sister
Umekuwa hadimu sana huku, huo ubize siyo wa nchi hii kaka yangu.
Asante my brother mzima wewe?Nakusalimia pia my sister
UpoNakusalimia pia my sister
Dah pole sana mkuu, hilo ni pigo takatifu. Kama bomu basi Hiroshima














pepo ameumbiwa mwanamke kama wewe mkuu,



hapana kwa kweli hata Mungu alisema usimuache mwenzio akateketea kwa kutenda dhambi unatakiwa umkanye kile kitendo cha kumkanya tu umeshapata thawabu usimlazimishe aache wewe mkanye tu halafu yeye ndo ataamua afuate ushauri wako au auache



unakuta ni learner sasa, pimbi haijui kutuliza wenge! unaambiwa kuanzia saa 1 jioni usipige...lenyewe linapiga lione itatokea nnHahahahahahahah ha sasa mtu asiyeelewa unachepuka nae vipi
Nipo aisee, kitambo sana
Asante my brother mzima wewe?
Umekuwa hadimu sana huku, huo ubize siyo wa nchi hii kaka yangu.
Huyo mjuba kweli alikuwa serial kabisa, yani kama silaha ni lethal weapon. Sema tuongee yote ila mapenzi ya kibongo bila u FBI ni kitendawili.
Dont ever love blindly in.Tz














Yes. Tuppo mkuu
We jamaa bhana bomu la Hiroshima ni zaidi Aisee
KOPATE (wahaya wamenielewa)unakuta ni learner sasa, pimbi haijui kutuliza wenge! unaambiwa kuanzia saa 1 jioni usipige...lenyewe linapiga lione itatokea nn
Ase ni kwere chalyangu, mjuba kazngua kimaku
Mchuga chuga wewe upo kimtaa mtaa sana safi sana aisee unakuwaga FBI sometimes
Mwe mwe mweeeeeeh!!What about serial cheaters? Unaitaka ndoa, unampenda sana na ushamwambia hupendi baadhi ya vitu ila wala hana mpango wa kubadilika? Nasema hivyo because nilikaa kwenye ndoa 8 years sijawahi hata siku moja kufungua simu ya mume wangu, wala hajawahi hata kunipa simu nipige picha hata za matukio ya kawaida... but here I am, no husband 😀😀. Of course his LOSS! but my point ishuwa najiambia kama ningekuwa namkagua ama namfanyia vurugu kidogo labda angeogopa, or maybe ningejua mapema wapinzani wangu! Nimekuja kushtuka wameshazaa watoto wawili uhawara uliokubuhu ndio wanakumbuka kuoana.😀
Unaongea kama kuna aliyekupigia simu na kutukana au amekukosea heshima lakini kuchunguza simu hakusaidii, mwenye tabia yake anayo tu.hapana kwa kweli hata Mungu alisema usimuache mwenzio akateketea kwa kutenda dhambi unatakiwa umkanye kile kitendo cha kumkanya tu umeshapata thawabu usimlazimishe aache wewe mkanye tu halafu yeye ndo ataamua afuate ushauri wako au auache
Sasa nashangaa wanawake wanaodhani kukalia kimya maovu ya waume zao eti ndivyo Mungu anavyotaka kwani waume zao siyo watu? My friend I will speak even if I see a text saying 'hi' as long as it is from a woman I will talk oooo chaeee![]()
Sawa kaka yangu, nakuaminia pambana.Niko poa my sister. Ubize umezidi aisee.
Lakini nipo huwa nachungulia mara moja moja
Hakika my sister, nipambane tu ili baadae tufurahie maishaSawa kaka yangu, nakuaminia pambana.
Maisha yakinipiga niwe na pa kukimbilia.
Umentukana nini?KOPATE (wahaya wamenielewa)
Na unaona huu uzi wanaume wanavyofurahia kutokufuatiliwa??Hakika my sister, nipambane tu ili baadae tufurahie maisha



.