Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Naona mmefurahia sana leo huu uzi. 😀😀😀😀Na hapa ndio inaonyesha Me wengi mna Mengi. Teh

Maana mwanzo wa uzi mpaka mwisho hakuna aliyesema nahitaji kuwa muwazi mbele ya Mke wangu yaani nyoote mnataka muzungumzie simu chumbani. lol.

Wanaume Mungu anawaona.
Hahahaahahahahah! It's a chit chat jamani msituchukulie kihivyo
 
Hahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahahahahahahahahhaahhaha hebu nijitahidi niwe kama hivi uwenda nikadumu kwenye mahusisno lol...

Nilivyo na gubu hivyo simu ipigwe ukaongee chumbani asalaleeeeeeeeee vita ya hapo si ya mchezo
World war III.
 
Swali ni je hilo hata wanaume wanaweza kufanya? Yaani mke simu inaingia anaenda kuongelea chumbani halafu mume kakaa tu hana hata wasiwasi na wala haulizi ni nani aliyepiga simu?

Wanawake tunaweza ila na wanaume wanaweza? Na wao wakiweza basi hakika ndoa itakuwa tamu zaidi ila siyo hawa wanaume wa kiafrika kila kitu utasikia "mimi ndo mwanaume humu ndani na mimi ndo niliyekuoa" ishiii kwahiyo?
Sikumbuki mara ya mwisho kushika cm ya wife ni lini, after nikiwa nyumbani huwa sipendi aongee na cm tukiwa sebleni na yeye anajua ilo hivyo cm yake ikiita either akaongelee nje, chumbani au jikoni nami hivyo hivyo kama kuna ulazima wa kunishirikisha mazungumzo yake kwenye cm is okey ila sio kumuuliza nami hivyo hivyo. Hata hivyo nina ka udicteta ndani yangu hivyo sio kila kitu nianze kutafuta sababu ya uongo au kweli mbele ya wife, ila sipendi kuingilia uhuru wa mtu mwingine as long as hata mimi sipendi mtu aingilie uhuru wangu.
 
Kwasasa tutawafuata hadi chooni hadi kieleweke, bado tuna nguvu za kudeal na stress.
Back days, mke Ali cheat my pattern akaanza kukagua cm yangu nilipoenda bafuni, week iliyofuata nikamuomba aende kwao akasalimie wazazi wake...nilimuacha uko ajifunze hadi alipoiva...akatumia pesa yake kama nauli kurudi hom. Nilipanga achukue kozi ya mwaka kwao, ila haikutimia
 
Huyo ndo mwanamke aliyepikika akaiva
SIO MWANAUME UNAENDA KUANGALIA MECHI SAA 4 USIKU UEFA UNASKIA "BABA NJELEKELA TUNAENDA WOTE LAZIMA".
Afu unakuta kwenye kibanda umiza wanaume kama wote, mwanamke mmoja tu, kwenye saa tano hivi. Hadi uelewi huyu nae vipi. Kumbe
Ni wivu tu
Ni wivu tu
 
Sikumbuki mara ya mwisho kushika cm ya wife ni lini, after nikiwa nyumbani huwa sipendi aongee na cm tukiwa sebleni na yeye anajua ilo hivyo cm yake ikiita either akaongelee nje, chumbani au jikoni nami hivyo hivyo kama kuna ulazima wa kunishirikisha mazungumzo yake kwenye cm is okey ila sio kumuuliza nami hivyo hivyo. Hata hivyo nina ka udicteta ndani yangu hivyo sio kila kitu nianze kutafuta sababu ya uongo au kweli mbele ya wife, ila sipendi kuingilia uhuru wa mtu mwingine as long as hata mimi sipendi mtu aingilie uhuru wangu.
Nashukuru wewe umenielewa wengine wanang'ang'ania kuwa naleta ushindani na wanaume yaani hivyo ni vitu viwili tofauti wao wanadhani kuwa mwanaume ni kuwa kinyume na mke wako kwenye kila kitu na kumkosea mke makusudi ili umpime uwezo wake wa kusamehe na kuvumilia
 
Back
Top Bottom