Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Wanawake stress nyingine tunazitafuta

We kwa lawama hizi unaachaje kuwa tit for tat! sema approach tu zinatofautiana ila kununa nuna haikwepeki kama paka wa kirusi!
Sasa kununa siyo tit for tat, tit for tat ni kulipiza yaani ile mume akirudi saa sita usiku mke anarudi saa nane usiku mume akichepuka na wawili mke anachepuka na wanne sasa wapo wanawake mabedui wanaoweza hayo na wanafanikiwa ila mimi sihitaji hiyo mbinu nitatumia mbinu tofauti kabisa yaani mwanamke ukishamjulia mwanaume wako wala hakusumbui.
 
Ukishamjulia we fanya kinyume chake tu. Hapo utafaulu sana
 
Dada kuna michepuko haina adabu inatafuta hadi namba za mke na kumletea ubabe kuna mfano mmoja niliambiwa siku hiyo mke wa mtu amekaa ametulia zake ghafla namba ngeni inapiga kupokea kidada kinajitambulisha kama mchepuko wa mume wake halafu kwa kejeli kinasema eti "nina mimba ya mume wako" yule mke alitumia busara sana kumjibu akamuuliza kwa upole tu "kwani yeye mwenyewe umeshamwambia?" eti kakajibu "ndiyo anajua" mke akamwambia "sasa kama yeye tayari umeshamwambia anajua mimi unaniambia ili nifanyeje?" kenyewe kakaona aibu kakakata simu hii michepuko saa nyingine ndo ina kiherehere cha kutafuta namba za wake haya unakuta mume alikuwa anaficha ila mchepuko ukafichua hapo mke afanyeje jamani?
Sasa huyo mshkaji nae alivuka mipaka. Mchepuko anakuwaje na mimba yangu???
 
naliingiza kwenye laiti traki ya list nyeusi (blacklist)
Hatari sana mkuu! Leo naelekea sehemu flani simu inaita namwambia call me after like 30 minutes ananiambia kwani nataka nifanye nini?? Nkalikatia simu na nkaliblockia mbali huko.

Mimi nina mishe zangu wewe unataka unizonge hapa saa hizi
 
Back
Top Bottom