Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,444
- 1,809
I hate sana iyo jinsia ya "ke" wapo sometime yes sometime no...
kwao usihitaji kingine zaidi ya KI hate sana iyo jinsia ya "ke" wapo sometime yes sometime no...
Sasa mbona hujanigongea LIKE ili kuweka msisitizo?Nishike mkono, I'm speechless
Astaghafirulilah....!kwao usihitaji kingine zaidi ya K
Ustaadh kwani Huwa inahitaji nini zaidi? Au jicho?Astaghafirulilah....!
MhhKama utaona inafaa, waweza kuondoka na mimi pia.
Natamani buttons za like zingekuwa million ili uone kilichopo moyoni mwanguSasa mbona hujanigongea LIKE ili kuweka msisitizo?
Ng'ombe hazeeki maoni, usigune
Nataka nimpeleke mlimani nikamvuvie mapepo yamtoke. Kuwa na amani mama...
Ngoja nifanye sensa nione tang JF izaliwe umenigongea LIKE ngapi. Nikijiridhisha ntafanya maamuzi magumu.Natamani buttons za like zingekuwa million ili uone kilichopo moyoni mwangu
Unaruhisiwa kupigia jibu mstari....Ustaadh kwani Huwa inahitaji nini zaidi? Au jicho?
Babu wewe Mchagga kweli? Mbona una lafudhi ya Pemba?Unaruhisiwa kupigia jibu mstari....
Babu wewe Mchagga kweli? Mbona una lafudhi ya Pemba?
----------------------------------------------------------------Unaruhisiwa kupigia jibu mstari....
rudia kusoma na kutafakari nilichoandika utaelewa tuKumbe kumwekea mtu sumu akafa nia huruma hiyo??? Che
Biblia inasema "enyi wanawake watiini waume zenu" nashindwa kuelewa mwanaume kumtii mwanamke kauli hii wanaitoa wapeti mwanamke
Sitamani tu napenda