Wanawake sio watu wazuri

Wanawake sio watu wazuri

Kama siyo kuwa na huruma mwanmke ni kiumbe hatari sana, embu angalia..

Mwanaume akiwaza mfunza adabu mwanamke atampiga vibao vyakutosha. Ila mwanamke akiwaza mfundisha adabu mwanaume atamuwekea sumu kwenye msosi ale afie mbali huko

Ila tumshukuru Mungu kawapa huruma hawa dada na mama zetu.
 
Mwanamke mwenye pesa ana roho mbaya Zaid ya shetani,kama wewe ndie umemuoa af huna mchongo basi hesabu umeolewa rafiki maana ata papuchi utaipata kwa mgao
papuchi imekuwa kma maji ya dawasco, mgao
 
Kama siyo kuwa na huruma mwanmke ni kiumbe hatari sana, embu angalia..

Mwanaume akiwaza mfunza adabu mwanamke atampiga vibao vyakutosha. Ila mwanamke akiwaza mfundisha adabu mwanaume atamuwekea sumu kwenye msosi ale afie mbali huko

Ila tumshukuru Mungu kawapa huruma hawa dada na mama zetu.
Kumbe kumwekea mtu sumu akafa nia huruma hiyo??? Che
 
Back
Top Bottom