Wanawake sio watu wazuri

Wanawake sio watu wazuri

Nani kakudanganya mwanamke akiwa ana pesa hana haja Na wanaume we njoo kwenye maeneo ya beach huku uone majimama yenye pesa yanatanua Na vijana. Kuna apartments zinalipiwa Kwa mwezi mama anakuja Na mwanaume wake jioni anarudi Kwa mmewe.
Ila asiwe na kibamia!
 
Asprin mkeo yuko huku kaweka Kambi ya kudumu utadhani mwana Sabato Masalia yuko airport, hana visa Wala passport Wala ticket anataka kwenda Ulaya eti akahubiri, utadhani Hellen G White alitokea Kantalamba
Umesema wewe...
 
Sitamani tu napenda
Kuhongwa Raha, nikiwa chuo kuna mshamba katoka Kantalamba Sumbawanga, kanifukuzia weeeee, alipoona kagonga mwamba, akaniletea magunia matatu ya mahindi, nikamwambia akayauze sina pa kuyaweka. Leo kawa mjanja, utamjua?
 
Anhaaa, kumbe?
 
Back
Top Bottom