Wanawake sio watu wazuri

Wanawake sio watu wazuri

Wanaume wa miaka hii tunapenda kulalama sana sasa kama mwanamke ana pesa nawewe unatakiwa ukazisake ili heshima zirudi.
Heshima pesa ndevu ni uchafu by baba malcom
 
Tofauti kati ya mwanamke Na mwanaume mwenye pesa ni moja tu.
Mwanaume akiwa Na pesa anakusanya lundo la wanawake.
Mwanamke akiwa Na pesa haja ya wanaume hupotea kabisa, yaani wanaume anawaona kama migambo tu.
Hao ndo wanawake, usikmbee wapate hela, watakunyanyasa Na kuudhalilisha Utu wako
Umekutwa na nini mkuu mpaka umekuja na hitimisho hilo!?
 
Vibamia halafu mnaleta kiburi. Ukiwa Na kibamia kuwa mtii Na mnyenyekevu
Mnh nimelipenda jina lako bure. Kama we ni KE na linasadifu biology yako itapendeza zaidi
 
Raha ya mahusiano mwanaume akuzid pesa bhana ....... Sasa eti mim niwe na pesa kuliko mpenz wangu daaaah cjui hata kama nitakuwa napata nye..ge !!!
Kumbe mnanyegeshwa na pesa zatu!! Mnh...nimeijua leo aisee
 
Pesa ya mwanamke ni ya watoto wake that's it!
 
Ila uchebe na shilole wao wako tofauti kidogo na utafiti wako sijui kwanini.......??
Nimecheka sana nilipoona post ya Uchebe anafurahia kumpa mimba Shilole halafu anamwomba afanye kazi kwa bidii ili watunze hela za kuhudumia mimba na mtoto akizaliwa...
Kama ningelikua mm na naijua hali yangu nisingeliandika vile public aisee!!
 
Pesa hubadilisha mtu yoyote...
Awe mwanamke au mwanaume kipindi unazipata ulimbukeni lazima uwepo...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom