ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Asante sanaKweli kabisa
Asante sanaKweli kabisa
Hahahaha....Vibamia halafu mnaleta kiburi. Ukiwa Na kibamia kuwa mtii Na mnyenyekevu
Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume waoAsante sana
Bila hivyo mnatunyanyasa sanaMmmhhh !!!, Sio vizuri lakini.
Tayari hapo hana shida ya mwanaume, hapo ana shida ya kukata kiu. Apigwe show nafsi yake iridhike, then hata tena haja Na wewe mpaka atakapo kuhitaji.
Tatizo kubwa la wanawake ni INSECURITY PROBLEM. Kimwili (physically) Na kifedha (financially).
Mwanamke anapopata security ya kifedha, anajua ataweza kufanya lolote.
Tabia ya kumfanya mwenzio mtumwa?Power ya pesa ikiwepo utaona watu wanafanana tabia
TuwahurumieHahahaha....
HahahahaWanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao
Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango
Tabia ya kumfanya mwenzio mtumwa?
hahahahahahaahha makubwaaaWanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao
Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango
habari ndio hiyohahahahahahaahha makubwaaa
ndo nimeona nikakosa cha kuongezaaaaaaaaaaaahabari ndio hiyo
welcome to the worldndo nimeona nikakosa cha kuongezaaaaaaaaaaaa
Mdogo mdogo mkuuwelcome to the world
Mmmh mkuu sio wotee,wapo ambao hata mme wake akiwa hana kituu anamtuza vizuri san na wanaamani sanTofauti kati ya mwanamke Na mwanaume mwenye pesa ni moja tu.
Mwanaume akiwa Na pesa anakusanya lundo la wanawake.
Mwanamke akiwa Na pesa haja ya wanaume hupotea kabisa, yaani wanaume anawaona kama migambo tu.
Hao ndo wanawake, usikmbee wapate hela, watakunyanyasa Na kuudhalilisha Utu wako