Wanawake sio watu wazuri

Wanawake sio watu wazuri

The Manipulated Man (German: Der Dressierte Mann ) is a 1971 book by author Esther Vilar . The main idea behind the book is that women are not oppressed by men but rather control men to their advantage. A third edition of the book was released in January 2009.
 
Nani kakudanganya mwanamke akiwa ana pesa hana haja Na wanaume we njoo kwenye maeneo ya beach huku uone majimama yenye pesa yanatanua Na vijana.
Tayari hapo hana shida ya mwanaume, hapo ana shida ya kukata kiu. Apigwe show nafsi yake iridhike, then hata tena haja Na wewe mpaka atakapo kuhitaji.
Tatizo kubwa la wanawake ni INSECURITY PROBLEM. Kimwili (physically) Na kifedha (financially).
Mwanamke anapopata security ya kifedha, anajua ataweza kufanya lolote.
 
Asprin mkeo yuko huku kaweka Kambi ya kudumu utadhani mwana Sabato Masalia yuko airport, hana visa Wala passport Wala ticket anataka kwenda Ulaya eti akahubiri, utadhani Hellen G White alitokea Kantalamba
Hao jamaa walitia fora aisee
 
Vibamia halafu mnaleta kiburi. Ukiwa Na kibamia kuwa mtii Na mnyenyekevu
Hata kama nina kinukuta badala ya kibamia ukileta dharau sirudi nyuma Sina mjadala na mwanamke mwenye dharau uwe na hela uwe mzuri kama malaika dharau kwa no chance.
 
Hata kama nina kinukuta badala ya kibamia ukileta dharau sirudi nyuma Sina mjadala na mwanamke mwenye dharau uwe na hela uwe mzuri kama malaika dharau kwa no chance.
Maisha yako yote usikubali mwanamke akuzidi kipato, utakuwa useless
 
Back
Top Bottom