ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,456
- 67,408
Tunafata maneno ya hayati baba wataifa "utii ukizidi ni uoga"Biblia inasema "enyi wanawake watiini waume zenu" nashindwa kuelewa mwanaume kumtii mwanamke kauli hii wanaitoa wap
Tunafata maneno ya hayati baba wataifa "utii ukizidi ni uoga"Biblia inasema "enyi wanawake watiini waume zenu" nashindwa kuelewa mwanaume kumtii mwanamke kauli hii wanaitoa wap
Ukiwa mtumwa wa pesa unayakaidi Na maagizo ya MunguBiblia inasema "enyi wanawake watiini waume zenu" nashindwa kuelewa mwanaume kumtii mwanamke kauli hii wanaitoa wap
Ni kweli kabisa tumekuwa watumwa wa pesa na wanawake.Ukiwa mtumwa wa pesa unayakaidi Na maagizo ya Mungu
Si kweli, mnatakiwa kutii kama vitabu vinavyo sema na sio kauli za viongozi, kwa maana hiyo leo kiongozi akisema wanawake wapigeni waume zenu mko tayari?Tunafata maneno ya hayati baba wataifa "utii ukizidi ni uoga"
Hapana mkuu unaangalia na chenye manufaaSi kweli, mnatakiwa kutii kama vitabu vinavyo sema na sio kauli za viongozi, kwa maana hiyo leo kiongozi akisema wanawake wapigeni waume zenu mko tayari?
Mkuu grisi muhimu kulainisha vyumaNdio maana mtu anaehonga mwanamke hua namchukia sana
Mdogooo Tena haina mpinzaniKumbe nawe una roho mbaya!
Hahaaaa sawa mkuuuMkuu grisi muhimu kulainisha vyuma
Naanza kukuogopaMdogooo Tena haina mpinzani
Pesa kwanza mengine badae mpo vizuriHapana mkuu unaangalia na chenye manufaa
Mdogooo Tena haina mpinzani
Ndioo kwa dunia ya sasa pesa ndo kila kituPesa kwanza mengine badae mpo vizuri
Kila mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi Na mshahara wa dhambi ni mautiNi kweli kabisa tumekuwa watumwa wa pesa na wanawake.
Unacheza biko?Na ngoja tuzisake zaidi.
Ni kweli ndio maana hakuna mapenzi ya dhati mpo tayari kutoa uhai wa mtu ili mpate pesa.Ndioo kwa dunia ya sasa pesa ndo kila kitu
Daah hiyo kaliKuhongwa Raha, nikiwa chuo kuna mshamba katoka Kantalamba Sumbawanga, kanifukuzia weeeee, alipoona kagonga mwamba, akaniletea magunia matatu ya mahindi, nikamwambia akayauze sina pa kuyaweka. Leo kawa mjanja, utamjua?
Duuh mkuu umeua aisee mbwa tenaIla kweli hata mm nikipataga kamshahara kangu nawaonaga kama ma'mbwa tuu
Hahhaha natania sipo hivyo![]()
![]()