Mkuu sijafanyi lakini ukweli ndio mlivyo..yan mkiwa na kipato kumzid mwanaume ata out hamtaki mfuatane.Usijifanye unatujua mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
Hahhah! Mmezidi na nyie unakubalije mpaka mwanamke anakuzidi kipatoMkuu sijafanyi lakini ukweli ndio mlivyo..yan mkiwa na kipato kumzid mwanaume ata out hamtaki mfuatane.
unanicheka ehh
Iyeee babaNaona leo umeamka na wanawake mkuu
Cc: bujubuji
Tofauti kati ya mwanamke Na mwanaume mwenye pesa ni moja tu.
Mwanaume akiwa Na pesa anakusanya lundo la wanawake.
Mwanamke akiwa Na pesa haja ya wanaume hupotea kabisa, yaani wanaume anawaona kama migambo tu.
Hao ndo wanawake, usikmbee wapate hela, watakunyanyasa Na kuudhalilisha Utu wako
Even men are the same bt nadhan hii imetoka na ile methal ya samaki 1 akioza basi wote..Tofauti kati ya mwanamke Na mwanaume mwenye pesa ni moja tu.
Mwanaume akiwa Na pesa anakusanya lundo la wanawake.
Mwanamke akiwa Na pesa haja ya wanaume hupotea kabisa, yaani wanaume anawaona kama migambo tu.
Hao ndo wanawake, usikmbee wapate hela, watakunyanyasa Na kuudhalilisha Utu wako
ShiitNa kamweee hatutaacha roho mbayaaa
Hata upigwe mtalimbo wa nguvuVibamia halafu mnaleta kiburi. Ukiwa Na kibamia kuwa mtii Na mnyenyekevu
MI unavyokuwa na Roho mbaya ndio upendo unaongezeka.Na kamweee hatutaacha roho mbayaaa
Kweli Wewe zombiMI unavyokuwa na Roho mbaya ndio upendo unaongezeka.
Mwanamke akiwa na roho mbaya wanaume hawamsogelei, MI hapo ndio naongeza macare najilia peke yangu. Tehe tehe tehe.Kweli Wewe zombi