mandingo6262
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 424
- 82
- Thread starter
- #21
Mkuu pesa gani niliyomzoeza? Ningekuwa nimemzoeza pesa nisingekuja jukwaani kulalamika. In short ni kwamba sikutegemea kama mwanamke ambaye anafaa kuwekwa ndani akawa ni wa kupiga mizinga na siku ukiwa huna anakasirika. Yeye kutoonana na mimi ni baada ya kutomtumia pesa. Sasa mwanamke wa namna hiyo huishia kumegwa na wazee wenye ndoa maana wao ndo wana mpunga extra,,,,washajenga, washasomesha n.k alafu mwisho wa siku unakuta mabinti wanalalamika yaani mie sijui nina mkosi gani sina wa kunioa mara....
nilikuwa nasoma kwa uchu sana nione malengo ambayo mlipangiana!
At the end naona wote tu mko after kugegedana na kutumiana pesa....
Ulimzoeza pesa sana toka mnaanza kupeana lifti....
Mwanamke umleavyo, ndivyo akuavyo!