Wanawake ombaomba mtabaki kuchezewa

Wanawake ombaomba mtabaki kuchezewa

Habari zenu wadau, natumaini mko salama kabisa. Leo nimekuja na hili nijaribu kuwashirikisha. Kuna mdada mmoja ni mwanafunzi wa chuo nilibahatika kukutana naye akiwa likizo mie naenda ofisini kwa gari langu yeye anawahi kupanda daladala aende kusimamia biashara za hom kwao kwani yeye ndo binti wa mkubwa na mara nyingi huwa anasimamia biashara zao kipindi akiwa likizo.
Siku zikaenda nikawa nampa lift mara kadhaa na baadaye tukafikia kubadilishana namba za simu ili nikiwa natoka hom nimshtue. Kabla ya hapo ashanipiga vimizinga vya vocha na hela ya saluni hata sijamtongoza, nikaja kumuuliza kama ana boyfriend au mchumba akadai kuwa hana nami nikamtania kwamba haiwezekani mrembo kama yeye aishi mwenyewe akacheka maisha yakaendelea nikamtongoza akakubali na siku nilipotaka mgegedo alikubali lakini tulipofika mahali pa tukio yalijitokeza yaliyo nje ya uwezo wetu na sikuweza gegeda. Nilidhani nimepata mchumba lakini kwa staili hii ya mizinga naona hafai maana usipotuma vocha hupigiwi atakubip siku nzima ila ukituma dahh utapigiwa na kubembelezwa kama mtoto. Yaan huwezi kufurahia mapenzi yake kama hujatoa hela na kilichonikatisha tamaa zaidi ya yote ni pale nilipomwambia najenga. Anadai kuwa kama sina hela mafundi nawalipa vipi?
Mwishoni kataka nimtumie hela ya matumizi hostel nikamwambia asubiri kidogo nitamtumia lakini wakati huohuo mie nikapata safari ya kwenda Dar coz maisha yangu ni ya mkoani. Basi binti akadai kuwa usije bila kunitumia hiyo hela la sivyo hatutaonana. Mie nilifanikiwa kupata hela hata kabla ya safari yangu lakini kwa ile kauli yake nilikereka sana na kutaka nione nisipotuma itakuwaje. Nikiwa najiandaa kutoka airport nilimtext kwamba ndo naruka kuja Dar naye hakujibu. Nilisafiri salama na nilivyofika Dar nikampigia naye hakupokea na nilipomtext hakujibu.
Nilifanya yaliyonipeleka na hatimaye nikarudi zangu mkoa.
MHHHHHHH NIMEKAA NA KUFIKIRIA SANA JUU YA HII TABIA YA WENGI WA WADADA WANAOTUZUNGUKA,,,KWA STAILI HII KWELI MTAPATA WACHUMBA AU WAUME WANAOWAPENDA KWELI????? PESA MBELE MAPENZI NYUMA. HUYO NINGEKUJA KUOA SIKU SINA NYUMBA SIINGEKUWA HAIKALIKI?? DADEKI DAWA YA WADADA WAPENDA PESA NI KUWAGEGEDA NA KUCHAPA LAPA YAANI NIACHE MIPANGO YANGU YA MSINGI KAMA UJENZI KISA NAHONGA...YELEWI BADO NITAKUWEPO SANAAA.

epuka kutoa ahadi za ndoa bila kufikiri utapoteza amani ktk ndoa yako na.kama ulikosea kwa maana ya kumuumiza mtu ktk ahadi rudi umuombe msamaha kilio chake Mungu atamsikia msamaha wako utakaa kwenye ndoa kwa amani jifunze mwanzo 25:29-31 nA waebrania12;16-17.usiuze uzaliwa wa kwanza ktk ndoa kirahisi utakuja kukosa amani usipotimiza ahadi.
 
kilichotokea ulimwonyesha unazo,akajua amepata pa kujionyeshea kwa wenzie,kama haujatuma usiende?hakuna mapenzi hapo au bado ni mtoto?nina hofu na umri wake,kama umempenda waweza mrekebisha kwa kutokumpa pesa hovyo,all the bes
 
kilichotokea ulimwonyesha unazo,akajua amepata pa kujionyeshea kwa wenzie,kama haujatuma usiende?hakuna mapenzi hapo au bado ni mtoto?nina hofu na umri wake,kama umempenda waweza mrekebisha kwa kutokumpa pesa hovyo,all the best
 
Ni kweli pesa ya mwanaume tamu?mbona wanawake wanakataa hela yangu?
 
Mtafute kwenye picha zako utampata hahahhhha

nimempata huyu asiye na msimamo...........
DA+13.jpg
 
Ukiona mtu anakuambia umemchezea, jua ulikuwa na 'mtoto wa kike':nod:, mwanamke mtu mzima hawezi sema hayo.
mbona wengine lakini watu wazima kabisa above 26 wanasema /kulalamika umenichezea.bure tu ningejua nisingekubali na blah blah nyingine nyingi.
 
MKUU pamoja sana alileta mambo ya kubeep na kukutikisia kiberiti??
sawasawa akikua nakujakulitambua kosa lake atajuata sana .
mwache aruke mabonanza bado umri wake unamruhusu ngoja amalize CHUO aingie kitaani kupigika then atajua kuwa alichezea ngekewa
 
tinna cute! Tuachen utan jaman hvi hatuna wazaz au walez wakututimizia basics needs zetu au ndo ulimboken wa mjini! I ril hate kuchuna buz, frankln spkn...!

Wazazi,, kaka wapo lkn mizinga lazma niipige ile mikubwa sio ya kitoto,,,,,, its good thing dia endelea na msimamo wako as for kuchuna lazima.
 
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat! Well what can i say?:A S embarassed:

Anyway the girl is an AMATEUR! Sawa anachuna but she has NO GAME, CLASS, STYLE, SKILLS, TALENT! NADAAAAAAA! She is a DISGRACE to WACHUNAJI SOCIETY!

Dooooooh!! Ugomvi?
 
Habari zenu wadau, natumaini mko salama kabisa. Leo nimekuja na hili nijaribu kuwashirikisha.

Kuna mdada mmoja ni mwanafunzi wa chuo nilibahatika kukutana naye akiwa likizo mie naenda ofisini kwa gari langu yeye anawahi kupanda daladala aende kusimamia biashara za home kwao kwani yeye ndo binti wa mkubwa na mara nyingi huwa anasimamia biashara zao kipindi akiwa likizo.

Siku zikaenda nikawa nampa lift mara kadhaa na baadaye tukafikia kubadilishana namba za simu ili nikiwa natoka hom nimshtue.

Kabla ya hapo ashanipiga vimizinga vya vocha na hela ya saluni hata sijamtongoza, nikaja kumuuliza kama ana boyfriend au mchumba akadai kuwa hana nami nikamtania kwamba haiwezekani mrembo kama yeye aishi mwenyewe akacheka maisha yakaendelea nikamtongoza akakubali na siku nilipotaka mgegedo alikubali lakini tulipofika mahali pa tukio yalijitokeza yaliyo nje ya uwezo wetu na sikuweza gegeda.

Nilidhani nimepata mchumba lakini kwa staili hii ya mizinga naona hafai maana usipotuma vocha hupigiwi atakubip siku nzima ila ukituma dahh utapigiwa na kubembelezwa kama mtoto. Yaan huwezi kufurahia mapenzi yake kama hujatoa hela na kilichonikatisha tamaa zaidi ya yote ni pale nilipomwambia najenga. Anadai kuwa kama sina hela mafundi nawalipa vipi?

Mwishoni kataka nimtumie hela ya matumizi hostel nikamwambia asubiri kidogo nitamtumia lakini wakati huohuo mie nikapata safari ya kwenda Dar coz maisha yangu ni ya mkoani. Basi binti akadai kuwa usije bila kunitumia hiyo hela la sivyo hatutaonana.

Mie nilifanikiwa kupata hela hata kabla ya safari yangu lakini kwa ile kauli yake nilikereka sana na kutaka nione nisipotuma itakuwaje. Nikiwa najiandaa kutoka airport nilimtext kwamba ndo naruka kuja Dar naye hakujibu. Nilisafiri salama na nilivyofika Dar nikampigia naye hakupokea na nilipomtext hakujibu.

Nilifanya yaliyonipeleka na hatimaye nikarudi zangu mkoa.

Mhhhhhhh nimekaa na kufikiria sana juu ya hii tabia ya wengi wa wadada wanaotuzunguka,,,kwa staili hii kweli mtapata wachumba au waume wanaowapenda kweli? pesa mbele mapenzi nyuma. huyo ningekuja kuoa siku sina nyumba siingekuwa haikaliki? dadeki dawa ya wadada wapenda pesa ni kuwagegeda na kuchapa lapa yaani niache mipango yangu ya msingi kama ujenzi kisa nahonga...yelewi bado nitakuwepo sanaaa.
Pia dawa ya wakaka wapenda papuchi ya bure ni kutokupokea simu zao na kuchapa lapa yaani waache shughuli zao za msingi kama kusimamia duka wakagawe bure. Pia wakaka wapenda vya bure watabaki kunyimwa (Ni utani usinielewe vibaya)
Mimi kama mwanaume tuache kuwachezea wadada kwa sababu "Msichana au mwanammke unayemchezea wewe leo ndio atakaye olewa na mimi au mwenzako sasa wewe utakaye muoa unajua anafanywa nini au namfanya nini" kumchezea mwanamke ni sawa na kumdhalilisha mwanaume mwenzio, hivi unajisikiaje ukigundua namchezea mwanamke ambae unataka kumuoa. Tuwapende dada zetu tumia kwa ustarabu na muhudumie ili mwenzio akute yupo katika hali nzuri.
 
Back
Top Bottom