Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Aliyechapa lapa ni yeye au wewe, tenda wema uende zako. kuombwa hela au kumsaidia mwanamke kitu sio sababu ya kumtongoza.
na wewe acha kutumia uwezo wako vibaya.
HAHAHAAAA mambo ni aje
Aliyechapa lapa ni yeye au wewe, tenda wema uende zako. kuombwa hela au kumsaidia mwanamke kitu sio sababu ya kumtongoza.
na wewe acha kutumia uwezo wako vibaya.
ok..bahati si yangu. aksante mkuuYupo lakin hajafikia haya mambo ya kikubwaaa!!!
Safi sana..hauna mdogo wako mkuu? hii mbegu nzuri.
Afadhali umelijua mapema hilo na angekua anakupenda asingekua anakuchuna hivyo,!!!!!!mi wangu nampunguziaga hadi vochaa lol yeye hata kukupigiaaaa
Hela ya vocha na saluni!!!!!!!!! hujachunwa mbona!!!!.
Basi sawa!!!
tinna cute! Tuachen utan jaman hvi hatuna wazaz au walez wakututimizia basics needs zetu au ndo ulimboken wa mjini! I ril hate kuchuna buz, frankln spkn...!
Hivi mlezi anaweza akakununulia vifaa vya wakati wa kumwaga oil chafu? Mimi wakwangu nawajuaga tu kuna tarehe zikikaribia lazima niwape bulungutu.
inamaana alivyoanza tu alisubiri asaidiwe na mwanaume? mzazi mstaarabu humjali mwanae kumuepusha na vishawishi hadi atakapoona anauwezo wa kujitegemea
umeniwahi,,,,,,,
by saying so,muache ile misemo yenu mnasema umenichezea alafu unaniacha,hapo tunakuwa tumechezeana.Wakati unamchezea, yeye hakukuchezea hata kasehemu kamoja? What is kuchezea labda?
Kwa kifupi, mmegegedana, akchwale ukute hata yeye hakukuona husband matirio ndo maana hakurudi hata kukucheck.
Kula ama kuliwa inategemea tu umekaa angle gani wakati unatizama.
Yaan humu kuna watu mpaka uje ujue ni jinsia ipi kazi ipo,haya tyta na we ni me!??!
Jamani ila pesa ya kupewa na mwanaume ni tamu kuliko hata ya kupewaa na mzazii,
Najua mmenielewaa nilichomaanishaa