Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Ingekuwa Kuolewa ni kama kuku basi wasichana tungeolewa sana. basi hamna haja ya kupenda,mtu akikutamkia tu unaolewa.duuuu wanaume mnachonga sana.mkikataliwa tu mnakuja kulialia humu.
sio bure, hili limetupwa gizani na tayar limekupata kwa maana jins unavyotapa tapa hivyo mmmh. taratibu tu omba yule mzee wa miaka 60 afiwe na mkewe ili akuoe.
 
Ukisikia yalaaa ujue limempata mtu tayari
Mada ikiletwa lazima ijadiliwe na katika mjadala usitegemee majibu ya kufanana, kukubali kila kitu kama kilivyo ni matumizi mabaya ya ubongo.

Nina mwanaume + watoto wawili, na sina ndoa vipi una tatizo kuhusu hili?

Sioni ni kwanini mnajifanya washauri nasaha kuhusu wenzenu kuolewa, ninini mnafaidika nacho huko ambacho wenzenu hatuna labda tunaweza kufikiria kuja teh teh!
 
Bible hairuhusu mwanaume kuchepuka ila ni nature ya mwanaume yoyote yule japo katika uchepukaji tunatofautiana wengine kwa kificho na wengine kwa kujiachia na hi isikufanye wewe ukate tamaa ya kuolewa
Eti nature msyuuuu Mnapenda excuses nyie watu.
 
Haya ni maisha, sidhani kama kuna formula katika kuyaishi, maisha yako si ya mwingine and vice versa, kila mtu ataishi atakavyo. Relax.
Dear read well my message and then find any area that said its my life and it is for all women... Then you can answer the way you answered... Because the last time I checked didnt find nilichokuuliza now mmpaka ukajibu , ulivyojibu.. You dont need to quote me in everything that naandika... So you are the one who needs to Relax... Thanks..
 
Msiwape watu stress, kama hajakupenda basi kubali haujapendwa...sio sababu una ahaidi ndoa ndo ajilazimishe kuolewa na wewe. Unajuaje na huyo mwingine hajamwambia anataka kumuoa kama wewe unavyosema.
They will marry when and who they want.
Hizi topic mkawaambie dada zenu nadhani ndo hawana haki ya kupenda au kuchagua wanachopenda.
We mleta mada nilikuambia usichokoze nyuki haya ona sasa
 
Hakuna heshima ya mwanamke hata aweje kama hajaolewa, hata awe na miaka 45 hajaolewa na bint Ana 22 kaolewa basi jamii inampa heshima zaidi bint wa 22 kuzidi huyu mwenye 45 Ndio inaheshima yake bwana

yah... na mie akitokea fairy godmother akini grant three wishes, nitamuomba anipatie uwezo wa kuikimbia jamii kama hiyo, nitakuwa naenda tu kuitembelea hiyo jamii, lakini sio kuishi nayo.
 
Back
Top Bottom