KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 775
Kama anachepuka ninini kinafanya uone ni nature? Au unahalalisha uchepukaji kwa kutumia neno "nature".
Sijui kwanini mtu una argue tu huku hauna utetezi wa unacho argue... eti nature, eti kucheat iko kwenye damu, ndio nini sasa?
Eti wapo wanao cheat kwa kujionyesha na wanao cheat kwa kujificha...hapa naona anamaanisha wanaojificha ni bora zaidi ya wale wanaojionyesha... Hawa ndio wale ambao wana cheat, lakini mkewe aki cheat dunia inageuka sio mahali salama...khaa