Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Hayafai kusemwa huku, wenyewe wakipita (kama wapo) watajisikia vibaya. Ila sioni utetezi wa mitandaoni ukiendana na maisha tunayoishi (huku mabwepande).
JF kuna special women mkuu sio wale tunaosumbuana nao huku uswazi.
 
Kuna mijitu inapenda kujifariji.

You'll see whatever you want. You seem to be the desperate one, wanting these women so bad but you can't have them.


Mtu kajiendea kwenye harusi, kisa hajaolewa watu mnajipa moyo kuwa yuko desperate.

EBO!
Hahahh
Nipo na mke wang ndan.
 
Ukisikia "aaaaiiiiiiiiiii", ujue gizan limempata mtu, wanaendelea kuja. Tena unakuta hapo alikuwa anakuringia tym mpo shule, tym hiyo yupo hot, saa hii keshazalishwa ndo anajifanya baby nyingiii, simu haziishi, gud nite kibao. Tusichoshane wanawake.
 
Wana angalia sura wezio inawacost mno, sie wenye sura mbovu tunaoneka nuksi mno, mwisho siku akistuka anajikuta ana watoto watatu wanaume tofauti akili inaaza ku mka sawa.....apo ndo anashia kugawa mtaani mpka aibu!!
 
Mambo haya nikimulza shangazi yangu hu najifuza sana....maana mpaka napo andika bwana wake ni yesu peke almost about46 with no children wth no husnd..ila ana stress na ndoa za watu mpka kero
 
Kuna mmoja ananiomba ushauri Ana 36 Na hajapata MTU wa kumuoa bado.
 
Waaay to go sis... hahahahahahaha...whaoooo, you are brilliant!!!
Sasa hapa ni nani hazitaki mbichi hizi!? khaaaa!! Kaaaaazi kweli kweli.
Ndomana tunasemaga kila siku... Ukiiangalia mijanaume yenyewe inayokaa kusema hawa wanawake utatema tu mate.

Sasa hiki kivulana cha form six hakijui hata kisome nini chuo na chenyewe kinalalamika wanawake Hawa wana high standards,!

Heh!!
 
Ndomana tunasemaga kila siku... Ukiiangalia mijanaume yenyewe inayokaa kusema hawa wanawake utatema tu mate.

Sasa hiki kivulana cha form six hakijui hata kisome nini chuo na chenyewe kinalalamika wanawake Hawa wana high standards,!

Heh!!

hahahahaha... ndio hao hao akina "sizitaki mbichi hizi" original
 
Waaay to go sis... hahahahahahaha...whaoooo, you are brilliant!!!
Sasa hapa ni nani hazitaki mbichi hizi!? khaaaa!! Kaaaaazi kweli kweli.
#Mijanaume #vivulana
 

Attachments

  • 1459273028730.jpg
    1459273028730.jpg
    21.3 KB · Views: 30
#Mijanaume #vivulana

Sasa mkuu, kwani kuna shida gani kama mtu amemuomba Mungu kitu kwenye maisha yake, Mungu akamtimizia, kwanini asiseme asante!? Mie sioni tatizo huyo msichana (Irene) ku-declare kwamba shida yake imepata ufumbuzi, na pia mkuu, wala mimi sikatai kwamba kuna wanawake wako desparate kuolewa (na wanaume pia kuoa), offcourse wapo, tena wengine desparation inaanza in their early 20's wakifika 30 inakuwa kwenye boiling point, lakini yote hii, ni mambo ya priority tu.
Mie shida yangu ni pale nyie mnapo-generalize hizi issue na kulazimisha issue flani flani zi-apply kwa kila mtu... Kwenye maisha watu (tena binadamu wa dunia ya sasa) wana priorities tofauti tofauti mkuu.
 
Aaaah...kwa sababu tu yakuolewa ndo uolewe na gumegume hata hujalipenda kisa nn.....una matatizo WW..
 
Back
Top Bottom