Binti, kubali any marriage proposal ya kwanza unayoipata... hiyo ni bahati imekudondokea, la sivyo utakoma baadaye.
Binti, ukimaliza tu form six au hata form four, anza tu kuwaza ndoa...maana ukifika 30 yrs old hujaolewa, hamna namna tena, wewe umekwishaaaa
Mwanamke, unashauriwa hapa kuolewa mara tu chance inapojitokeza, hata kama ni mtu ambaye hujampenda, (take risk), utaenda kumpendea mbele ya safari... (na kama usipofanikiwa kumpenda...well, labda thread nyingine itaanzishwa kuhusu hilo)
Binti/mwanamke, Moyo wako ukimpenda mwanamme kabla ya yeye hajajua unampenda, uzuiye huo moyo kabisa, usithubutu kumwambia huyo mwanamme, vumulia mpaka atakapokupenda yeye kwanza, la sivyo atakudharau mama.
Binti, wewe ni mwanamke, siku zote inatakiwa utulie tuliiii upendwe kwanza, alafu wewe ndo uanze kuufundisha moyo wako kupenda. Usitake kuleta fyokofyoko za kuanza kupenda ile jinsia nyingine kabla wao hawajakupenda.
Mwanamke, na utakapofika 30yrs old bado hujaolewa, usilete ushetani wako wa kuwalaghai "innocent married men", wao wametulia ndani na wake zao, nyie mnaenda kuwashikia bunduki mzae nao, acheni hizooo, nyie si msilikataa kuolewa mkiwa chuo?
Salamu zimfikie besti wangu
housegirl